- Thread starter
- #41
mkwe vitumbua vitam sana,mi huwa nikila mpaka nasinzia,na viwe na chai maziwa
Si umeona hapo nami nala kwa chai ya maziwa? Kapika binti ivoo lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkwe vitumbua vitam sana,mi huwa nikila mpaka nasinzia,na viwe na chai maziwa
farkhina asante sana nitajaribu lkn mwenzio nakata tamaaa kwani chuma changu nlinunua kariakoo basi kinagandisha hicho balaa au pengine sijui namna ya kupika vitumbua huenda kuna pahala nakosea. Ila asante kwa mapishi mapya sasa hiyo samli kopo lake likoje manake kweli ziko za aina nyingi hebu niwekee picha ya kopo lake ili nikinunua nisikosee

Huu ugali wa kisukuma ni ule mgumu ile mbaya
yani ukila mchana hadi usiku unakuwa umeshiba....
Ngoja nitafuatilia ntaanza na home dipoNashkuru nimebahatika pan yangu non stick ila kizito balaa alafu kuna electric version ivoo ulizia madukani pia vizur
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sante sana, nmefurahi maana hii kitu naipenda. I will tryMahitaji
Nyama ya kusaga robo...ichemshe na kuweka spices upendazo
Mayai 5-6 inategemea na ukubwa..
Pilipili hoho kipande
Karot 1 ndogo ipare iwe ndogo ndogo
Chumvi kiasi
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon
Tangawizi 1/2 teaspoon
Baking powder 1 teaspoon...
Kitunguu maji kipande.
Pilipili ya kuwasha kiasi upendacho
Namna ya kutaarisha
Weka katika blenda pilipili hoho,kitunguu maji,mayai,saga ila isiwe laini sana
Toa weka kwenye bakuli then add chumvi,baking powder na karot...
Weka pan yako ya kuchomea vitumbua na choma kama vitumbua vya mchele
Tayari kwa kuliwa...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sante sana, nmefurahi maana hii kitu naipenda. I will try
Hhahahahaha huo lazima wanenepesha lol btw lini utanialika nije kula ugali wa kisukuma?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Asee karibia muda wowote, ila ndo ujiandae kama ndo first time kula lazma taya ziume....
Nipo nadesa shosti unajua tena!
Ah mie pia najifunza jamati am not a chef kwa kweli....ila sinaga uchoyo abadan nnachojua na share na wenzangu apa lol
Kweli Fakhrina wewe huna uchoyo wa kutoa elimu ya unachokijua. Mungu akujalie...
Ah mie pia najifunza jamati am not a chef kwa kweli....ila sinaga uchoyo abadan nnachojua na share na wenzangu apa lol
Kweli Fakhrina wewe huna uchoyo wa kutoa elimu ya unachokijua. Mungu akujalie...
Amin mpenz hujambo lakin?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Shukran ukhti.