Vitumbua vya nyama ya kusaga

Vitumbua vya nyama ya kusaga

Thanks habibty, lkn hio samli umeonesha kwenye kibakuli raha ungeonesha kopo lake tukapata kujua brand name yake. Pls
 
Nimejaribu leo, imesumbua kidogo hasa ktk ugezaji. Ila ni tamu balaa, mwanangu ameipenda mpaka basi.
 
Ukipika next time utaweza vizur tu kugeuza subiria kiwive chine na pembeni utaona inaanza kua brown ndio ugeuze
 
Nimejaribu leo, imesumbua kidogo hasa ktk ugezaji. Ila ni tamu balaa, mwanangu ameipenda mpaka basi.

Na umejua kama kugeuza unatumia kijiti au chuma km spoki ya baskeli?

Mana mi siku ya mwanzo nafanya vitumbua eti mechukua mshebeki wa chapati ndo nataka kugeuzia. Mamaangu alicheka mpk. Lol
 
Hahhaahhahaha subhanallah nimecheka mpaka mbavu zinauma heeee mie nageuzia kwa kijiti cha mishkaki tu sinaga makubwa
 
Eeh da Faa, mwanzo mgumu.

Ndo kujifunza. Kama Wewe ulivochezea kofi kwa kusahau kuweka hamira kwenye maandazi. Lol
 
yaani itabidi nijaribu kupika hivyo vitumbua kwani nimenivutia sana
aiseee kweli vitumbua hivyo nataka nivitest nione radha yake
 
Back
Top Bottom