Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Tuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya?
Tuanziee hapa
Tuanziee hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa sana majambazi.
CCM= Chama Cha Majambazi.
Uliza kwanza zile hela za radar ziliishia wapi?
Tumepewa dola milioni 425/Tsh bilioni 950 kwa ajili ya kupambana na Corona, zimetumikaje?
Wavutaje mahali vilipo na hizo shuleTuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya?
Tuanziee hapa
Una matatizo makubwa Sana ya akiliSo mkuu hiyo hela Kwa nchi ya watu mil 60. yenye kila changamoto unazoweza zitaja hiyo Dollar Mil. 425 hela? Mkuu Punguza Kuzaaa utaona matunda ya hela za aina hiyo.
HahahahahaOgopa sana majambazi.
CCM= Chama Cha Majambazi.
Uliza kwanza zile hela za radar ziliishia wapi?
Tumepewa dola milioni 425/Tsh bilioni 950 kwa ajili ya kupambana na Corona, zimetumikaje?
Hawajipendi?Wavutaje mahali vilipo na hizo shule
Tuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya?
Tuanziee hapa
Hahahahaha kumbe wamechukua mkopo WB.....dahHamna kitu wasanii tu.....Bil 48 kwa wiki 4 Uongo mtupu.
Mpaka wanajua idadi vilishaanishwa na tunaweza kuvijua ila pesa kufika yaweza kuwa badoPesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
Taarifa hizo zipo hapa jf kwenye nyuzi nyingi zisome. Unataka nani akuletee wakati ziko openly humu.Mpaka wanajua idadi vilishaanishwa na tunaweza kuvijua ila pesa kufika yaweza kuwa bado
Waambie hata yale ya nyumbani kwako yatatatuliwa na makusanyo ya tozo.Pesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
Hakuna mtu muongo kama mwana kijani.Vituo vya AFYA tuliambiwa vimejengwa vingi mno kwenye awamu pendwa, kumbe zile TUNATEKELEZA zilikuwa TUNAJITEKENYA..!!
Ni fadhaa hizo mkuu, hawaamini kama kuna mwanga umeanza kuonekana LIVE kabisa. Hakika watanyamazishwa, bila makelele, baada ya muda fulani.....hili naamini kabisaPesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
Hahahahaha nimeuliza kwa wema tuNi fadhaa hizo mkuu, hawaamini kama kuna mwanga umeanza kuonekana LIVE kabisa. Hakika watanyamazishwa, bila makelele, baada ya muda fulani.....hili naamini kabisa