King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hahahahaha kumbe wamechukua mkopo WB.....dah
Wasanii ,hivi Lameck Madelu aka Mwigulu anajua bil 48 kweli?? Ukijumlisha mapato ya mwezi ya makampuni yote kwa mwezi hayazidi bilioni 80 ila Lameck anakuja kutudanyanya kwamba wameingiza bil 48 halafu bilioni 24 washazipeleka kwenye halamashauri hahahaaaaa!!