Kwa sasa dunia imehamia MtandaoniVipindi vyenu vipo kizamani sana!
Havina mvuto kwa kizazi cha sasa β yaani Gen Z.
Maudhui hayajawianishwa na ladha ya kidijitali/Kisasa, kasi ya dunia ya leo, wala ubunifu unaohitajika kuvutia vijana wa sasa.
π Tunashuhudia vipindi visivyoendana na mitindo ya sasa β havina mvuto wa picha, vina maigizo yaliyopitwa na wakati na havioneshi maisha halisi ya vijana wa leo. Kimbilio ni Pay TV Azam kule na MultiChoice angalau packaging yao ya content inavuta hadhira kwa namna fulani.
π Jifanyieni tathmini ya kina β zungumzeni na watazamaji, tafuteni maoni yao, kajifunzeni kwingineko duniani muangalie data za utazamaji.
Gen Z wanahitaji maudhui ya kisasa, yanayoburudisha lakini pia yanaelimisha au mix ya both edutainment and infotainment yakiwa pachakaged kwa ubunifu wa hali ya juu na wa kisasa.
π― Fanyeni maboresho makubwa:
Kizazi cha leo hakiketi kuangalia kitu kisichokisisimua β kitafunga runinga na kuhamia TikTok, YouTube au Netflix.
- Ongezeni ubora wa picha (HD/4K). Acheni ubahiri walipeni Multiplexers wenu wawabebe kwenye quality nzuri nanyi badilisheni teknolojia na set za studio zenu. Mfano ITV hiyo studio ya Habari ni old school kitambo sana.
- Badilisheni watangazaji wekeni wenye mvuto, vituo karibia vyote havina watangazaji HB wala beautiful, wapo wababa na wamama, TV is all about attraction.
- Tengenezeni vipindi vya kisasa, vya kuvutia, vya haraka, vya kweli
- Toeni majukwaa ya ushiriki wa vijana β siyo vipindi vinavyowazungumzia na kuwabonda tu bali vinavyowahusisha na kuwaona wao pia ni sehemu ya jamii.
Pia rusheni maudhui yenu kwenye majukwaa yote muhimu kuwafikia vijana.
Muda ni sasa β jipangeni upya kabla hamjapoteza kizazi kizima cha watazamaji. CHANGAMKEENIII!!
MAONI HAYAPIGWI NYUNDO, HUFANYIWA KAZI!!!
HIVI TV1 Ilienda wapi walikuwa wabunifu sana wale jamaa!
N'yadikwa
Lakini pia mbali na hayo yote content ya TV haivutii ndiyo sababu tupo zaidi mtandaoni. Hakuna programme ya kukufanya utazame TV na TV zenyewe zinaonyesha ukungu ukungu. Chaneli za Azam zinaonesha HDKwa sasa dunia imehamia Mtandaoni
Everything is there on social network
Binafsi sikumbuki lini nimetazama TV au kusikiliza radio
Natumia FB ,IG na JF na YouTube I get everything.
Sio kweli mkuu. Radio inafuatiliwa zaidi duniani kuliko chombo chochote unachokifahamu wewe. Najua hili ulikuwa hufahamuKwa sasa dunia imehamia Mtandaoni
Everything is there on social network
Binafsi sikumbuki lini nimetazama TV au kusikiliza radio
Natumia FB ,IG na JF na YouTube I get everything.
Lakini pia mbali na hayo yote content ya TV haivutii ndiyo sababu tupo zaidi mtandaoni. Hakuna programme ya kukufanya utazame TV na TV zenyewe zinaonyesha ukungu ukungu. Chaneli za Azam zinaonesha HD
Yes Ila kwa Tanzania hali imebadilika.Sio kweli mkuu. Radio inafuatiliwa zaidi duniani kuliko chombo chochote unachokifahamu wewe. Najua hili ulikuwa hufahamu
Watafute maudhui .TV zote hizo Ubora wa Picha Hakuna yaani sio HD,wajitahidi hata ubora wa picha basi uwe vizuri
Mkuu usilie. Fanyieni maboresho programu zenu hapo kwenye TV yenu content zinaboa ubora mbovuWe jamaa huends hauna uelewa na hicho unachotaka kueleza au umechanganya mambo makusudi. Ubora hauna uhusiano wowote na Kizazi cha Gn Z kila generation inahitaji ubora. Usasa maana yake kuendana na watu wa sasa haina uhusino wowte na ubora labda uzungumzie kuhusu nature ya maudhui. Hivi vyombo vina wataalamu kuliko wewe na wanajua ni Traffic wanayoilenga
Zimejiua zenyewe MkuuLakini pia mbali na hayo yote content ya TV haivutii ndiyo sababu tupo zaidi mtandaoni. Hakuna programme ya kukufanya utazame TV na TV zenyewe zinaonyesha ukungu ukungu. Chaneli za Azam zinaonesha HD
Kabisa. Kuchwa, kukuche ni ngono,mpira na muziki wa paka iteleze.Watafute maudhui .
Hizi radio na TV zimejiua zenyewe kwa kujadili mpira na mapenzi .
Na hili kosa walilifanya bongo movie wakajidai wanaigiza mapenzi watu wakasusa CD zao bongo movies ikajifia kifo cha Asili.
Nakubaliana nawe kwa sababu penetration na usage ya internet sio kihiivyo bado jamii za vijijini maudhui wanapokea zaidi kwa njia ya redio.Sio kweli mkuu. Radio inafuatiliwa zaidi duniani kuliko chombo chochote unachokifahamu wewe. Najua hili ulikuwa hufahamu
EATV kituo changu nikipendacho lakini kinazingua kinomanoma.
Nyoka pangoni.Kabisa. Kuchwa, kukuche ni ngono,mpira na muziki wa paka iteleze.
Wewe ndio umeonyesha hauna uelewa au basi umekariri na hutaki kubadilika.We jamaa huends hauna uelewa na hicho unachotaka kueleza au umechanganya mambo makusudi. Ubora hauna uhusiano wowote na Kizazi cha Gn Z kila generation inahitaji ubora. Usasa maana yake kuendana na watu wa sasa haina uhusino wowte na ubora labda uzungumzie kuhusu nature ya maudhui. Hivi vyombo vina wataalamu kuliko wewe na wanajua ni Traffic wanayoilenga
Mkuu kweli Mimi Mwenyewe nikiwa Nyumbani naangalia Tv stations za nje na sikumbuki lini niliangalia Stations za Tanzania, Nikiangalia TV CNN, Skynews, Aljazeera nk, yani Stations za kibongo hazina mvuto kabisa yani wapo nyuma sana hata Stations za Kenya zipo vizuri kwenye Vipindi vyao.Kwa sasa dunia imehamia Mtandaoni
Everything is there on social network
Binafsi sikumbuki lini nimetazama TV au kusikiliza radio
Natumia FB ,IG na JF na YouTube I get everything.
Quality iko chini sana. Wakati huo kilikuwa motoo. Ukunguukungu mwingi set za kizee, presenters wenye talent kwishaa, grafix za kizamani wakati huyu alikuwa mbabe wa grafixEATV kituo changu nikipendacho lakini kinazingua kinomanoma.