Vituo vya ITV, EATV, STARTV, CAPITAL TV, CLOUDS TV, ETV – Tafadhali Sikilizeni!

bora nishinde zangu na AMC za Nigeria huko kuliko kutizama izo
 
TV na redio sio biashara ya kufanya kwa sasa.

It's matter of time, TV na redio zinaenda kupotea.

Ndani ya miaka 10 kutoka leo, TV itabaki historia kama vitu vingine vingi vilivyopotea.

Habari ya mjini ni sosha network, wewe kama nimtangazaji wa TV ama redio, anza kujiwekeza kwenye akaunti zako za kijamii, tafuta followers kwa hali na mali.

Yaani kitu kinatokea sasa hivi na watu sasa hivi wanakishea, dunia nzima inapata habari, halafu wewe baadae saa mbili kamili usiku ndio unakuja eti kuanza kunisimulia kitu ambacho tayari nimeshakiona tangu mchna?

Nikae nipige simu redioni kuomba wimbo wa bestnasso wakati ninaweza nikauplay youtube, waste of time.

Mpaka BBC wana akaunti X, we huogopi?
 
Ukisema aina ya maudhui kwenye media za bongo sawa. Wanabezi sana kwenye Burudani na michezo na mahusiano
 
Zimejiua zenyewe Mkuu

Hata Bongo Movies walikariri kila wakiigiza ni mapenzi tu sasa wapo wapi
Mkuu tatizo la Bongo movie wanaigiza Mambo ambayo hayapo kwenye jamii yetu ndiyo maana Bongo movie imekufa, yani ukiangalia Movie zao wanavyoigiza tu kuanzia Nyumba na maisha ni tofauti na maisha yetu Wananchi Watanzania. Mfano Wanaigiza mambo ya jini na majumba mazuri na familia ya wazazi ukiangalia hao wazazi walivyo tofauti na jinsi wazazi wanayoishi Tanzania.
 
bora nishinde zangu na AMC za Nigeria huko kuliko kutizama izo
Tatizo content packaging, we kituo cha TV kinarusha content hazina hata mvuto, ubora wa picha duni, ubora wa maudhui duni nk
 
Acha ujuaji
 
Tatizo content packaging, we kituo cha TV kinarusha content hazina hata mvuto, ubora wa picha duni, ubora wa maudhui duni nk
eti nitulie kuangalia jungu kuu hahahaha
 
Mkuu wanatakiwa wabadilike mbona Ulaya mpaka leo TV stations zipo na hazijafa, wao wanatakiwa wasogee mbele wasibaki walipo, wanatakiwa wawe wana Tangaza habari live kama wenzao wa Ulaya, Siyo Bus limepata ajari Same watu 45 wamekufa wao wanasubili saa mbili usiku kuonyesha.
 
Hamieni Azam Tv burudani kwa waliolipia👌
 
Mfumo ndiyo unataka media ziwe hivyo

Ova
 
hata mimi nawazaga hivo hivo,Channel zenye ubora hazizidi tatu bongo,CLOUDZ+WASAFI,TV E na vilivyo chini ya AZAM.kule ITV,EATV NK Tangia afe mengi naskia wameshindwa kuwekeza tena kwenye chombo chao,vipindi vya kizee,nyimbo za kizamani.naskia ITv na STARTV kuna kipindi miez michache nyuma waligoma hawakulipwa miez minne mshahara zaidi ya lak 2 za posho.
 
Anzisha chako mwana. Utapiga hela si kitoto!
 
Nimeshangaa ulivyoacha kuwaambia wabadilishe camera zao
 
Kwani Azam no DH? Na kama HD mbona Ukiangalia mechi kupitia Azam picha inakua tofauti na Ukiangalia Dstv, Dstv inaonyesha picha nzuri sana.
usiwalaumu azam mfano uwanja wa lake tanganyika ni vigumu kupata picha nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…