Vituo vya ITV, EATV, STARTV, CAPITAL TV, CLOUDS TV, ETV – Tafadhali Sikilizeni!

Hivi mnafuatilia vipindi vya tv?!
 
Quality iko chini sana. Wakati huo kilikuwa motoo. Ukunguukungu mwingi set za kizee, presenters wenye talent kwishaa, grafix za kizamani wakati huyu alikuwa mbabe wa grafix
Tena presenters ndiyo Kwisha kabisa.
 
Hivi mnafuatilia vipindi vya tv?!
Hivihivi vipindi vya kaa hapa nikae pale tuzungumze ambavyo ndiyo vimetawala TV stations zetu!? Nenda kule YouTube kaangalie TV programs zinaitwa Made in Tanzania au nenda hukohuko YouTube kwenye page ya The Citizen TV Kenya kaangalie mfano wa vipindi bora. Hapa Bongo hatuna vipindi vya TV vya kueleweka kidoogo anajitahidi UTV hawa wengine bado sana...
 
hasa itv poor HD kabsa mtu anaonekan sura imejikunja kam amekatwa
Moja ya sababu hata vyanzo vya taarifa vinagoma kushiriki maana wanajua utatokezea kama kikaragosi quality ni mbovu sana. Nani anatazama video ktk SD quality zama hizi! Hiyo HD tu bado watu wanaona imepitwa na wakati watu wapo Ultra HD vituo vyetu vinaonesha SD, tunafeli sana!
 
Media za bongo za kipuuzipuuzi tu mfano radio badala watu wawe wabunifu kuwe na vipindi kama vya technology,technical,science,utafiti na vitu vingine wao vipindi ndio hivyo hivyo miaka nenda rudi hakuna kipindi radio zinaboa kama kile cha kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 9 mchana,kidogo.saa 10 na kuendelea kuna vipindi.vinavyovutia,mimi saa 3 huwa nazima radio mpaka saa 10 jioni.Ni kama radio zote wamakubaliana kuanzia saa 5 ni vipindi vya kuchamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…