Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Hapo nimekupata boss. Ila hiyo sio tatizo sana. Inaweza kutatuliwa. Changamoto ni kuipeleka hiyo CNG mikoani ndio inahitaji haya magari maalumu..Nimeshakuelewa, ndo maana nimesema bado utahitaji vituo zaidi vya kujaza zaidi kile kimoja cha ubungo ambacho kitakuwa kinayajaza hayo malori yanayotembea, mchina mwenyewe huwa anaenda kujaza pale ubungo ndo anakuja kujaza Tazara.
Kwani hamuwezi kujenga vituo vya CNG kama vya petrol station mnasupply iyo CNG kwa malori maalum sisi watumiaji tunaenda kwenye hivyo vituo tunajaza na kuondoka nadhan kutumia gari maalum litoe huduma itakuwa changamotoHapo nimekupata boss. Ila hiyo sio tatizo sana. Inaweza kutatuliwa. Changamoto ni kuipeleka hiyo CNG mikoani ndio inahitaji haya magari maalumu..
Kujenga vituo inawezekana na ndio kinachofanyika saivi ila itachukua muda mpaka huo mradi uweze kukamilikaKwani hamuwezi kujenga vituo vya CNG kama vya petrol station mnasupply iyo CNG kwa malori maalum sisi watumiaji tunaenda kwenye hivyo vituo tunajaza na kuondoka nadhan kutumia gari maalum litoe huduma itakuwa changamoto
Hii huduma ingefika mkoani kwangu ningebadiri matumizi ya nishati kwenye gari yangu,maana petroli ni ghari mnoSio sound boss, huo ndio ukweli uliopo, CNG ni seriously issue.
Nipigie kwenye hii nambaOfisi zenu zinapatikana wapi tafadhali.:address.
Magari mengi yanabadirishwa Tanzania saivi boss. Ukienda kwenye vutuo vya kujaza gesi utakutana na msululu wa magari. Watu wana enjoy fuel economy.Kabla ya kuja na hii njia, ilipasa tujue soko la magari yanayotumia CNG limekua kwa asilimia ngapi?, Je nini kitatokea katika soko hilo kwa miaka 10-20 ijayo?
Dunia sasa inahama kitoka ICE kwenda kwenye Evs, lakini sisi kama Tz ndio kwanza tunawaza gas powerd vehicles, hauoni kama tuko nyuma ya muda?
kwakua demand ndogo, kila gari i-run off of a CNG bei haitakua hapo ilipoNdio gesi iliyoshindiliwa ina bei ndogo kuliko mafuta.
Acha hizi story bosskwakua demand ndogo, kila gari i-run off of a CNG bei haitakua hapo ilipo
hata kama kila gari litembelee Maji, bei ya Maji itapanda
Wabongo wana nyuzi zao bana!!?Uzi unakosa wachangiaji kabisa.
Kwa nchi hii utelekelezaji unaweza ukaanza vizuri. Watu wakahamasika kuweka mitungi kwenye magari yao. Lakini kwa utendaji wa hawa viongozi. Mwisho utajikuta hiyo huduma unaingaikia mwenyewe,haipo tena. Mfano utajikuta unatoka mbeya kwenda dar,unaishiwa gesi katikati ya kitonga au iyovi au mikumi utajikuta unaisubiri gari la gesi siku 3. Au iwe biashara huria
Ni kweli bossWabongo wana nyuzi zao bana!!?
hizi za maendeleo huwezi wakuta. Ww waambie mke wa Masanja kachepuka utakuta hao kibao!?
Call/WhatsApp boss 0687746471/0612607426Mtungi wa gari wa gesi mnaweka kwa bei gani!???
karibu sana bossAhsante kwa elimu na taarifa...