MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Nashindwa kuelewa. kwa lafudhi ya KichinaSerikali, wapiga debe, makuli na wamachinga.
Hao wa kusini kituo chao mbagalaNawaza mtu anaenda Lindi anakaa mbadala aitafute mbezi halafu arudi tena mbagala aondoke Zake Lindi
Ataichukia Sana serikali
Swali mahususiKama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana.
Wanasiasa wakae mbali na biashara
Kwa jamii yetu hii ya Kitanzania Biashara ikiachiwa kuwa huria bila "intervention" yoyote ya Serikali ni janga jingine la Kitaifa. Serikali kwa namna fulani inalinda "public interest". Hiki tunachokiona kama tunapigwa kitakuwa ni kilio na kusaga meno.Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana.
Wanasiasa wakae mbali na biashara
Basi litaanzia safari Mbezi wanaoishi maeneo ya Kibaha, Tegeta, Ubungo Mbezi, Goba watapandia hapo.Nawaza mtu anaenda Lindi anakaa mbadala aitafute mbezi halafu arudi tena mbagala aondoke Zake Lindi
Ataichukia Sana serikali
Hujamsikia mkuu ww mkoa, kasema stsnd kuu ya Dar ipo Mbezi basi zote zipakie na kuanzia safari paleHao wa kusini kituo chao mbagala
Hiko unachosema ndicho mkuu wa mkoa hakitaki; labda awe amechutama kimya kama makamba alivyotamka level sitiBasi litaanzia safari Mbezi wanaoishi maeneo ya Kibaha, Tegeta, Ubungo Mbezi, Goba watapandia hapo.
Wale wa Buguruni, Ilala, Temeke watapandia Sudani Temeke na Mbagala.
Tangu lini hizo basi wanakataza kupakia barabarani?
Unafikiri wakazi wa Kibaha au Mlandizi wanaosafiri kwenda Mbeya au Mwanza wanapandia gari Mbezi?
Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana.
Wanasiasa wakae mbali na biashara
Serikali ya Tanzania inaendesha biashara ya utumwa. Watanzania ni watumwa wa serikali.Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama serikali inaingilia ufanyaji wa biashara basi bado hatujafikia hiyo dhana.
Wanasiasa wakae mbali na biashara