Pole. Nimeona tangazo kwamba ni vituo vyote watavipitia kuvikagua.Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?
Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Huu utaratibu upo muda mrefu, kuuziwa mafuta kwenye kidumu uje na barua kutoka serikali ya mtaa iandikwe kwa matumizi ya nini.Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?
Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Kuna nafasi mtu akiwa nayo anadumaa akiliKwahiyo EWURA inataka wenye water pump, ma generator na immovable mashines zote ziwe zinabebwa hadi kwenye vituo vya mafuta?!
Huko kwenye taasisi kuna watu wakiwa wamekaa kwenye viti vya kuzunguka huwa wanafikiria ujinga sana!
Halafu wanajiita wasomiKwahiyo EWURA inataka wenye water pump, ma generator na immovable mashines zote ziwe zinabebwa hadi kwenye vituo vya mafuta?!
Huko kwenye taasisi kuna watu wakiwa wamekaa kwenye viti vya kuzunguka huwa wanafikiria ujinga sana!
Wako sahihi kabisaNi kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?
Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Nimeuliza leo kwamba hata dumu la lita 20', wakesema ni madumu yote ๐Dumu la 20lts hawakatai
Pampu zao zinaiba mafuta ukinunua lita 5 kwenye kidumu inakua lina nne na robo sasa wanachukua tahadhari mapema msiwashtukieNi kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?
Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Kuna gallon maalum za kuwekea petrol sio kila kopo,chupa au dumu. Hilo ni agizo la siku nyingi sema watu hawafuatilii.Kwahiyo EWURA inataka wenye water pump, ma generator na immovable mashines zote ziwe zinabebwa hadi kwenye vituo vya mafuta?!
Huko kwenye taasisi kuna watu wakiwa wamekaa kwenye viti vya kuzunguka huwa wanafikiria ujinga sana!
Make Google your friend.Hebu tupe mfano wa hizo gallon