Vituo vya mafuta GBP kwanini mnakataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu?

tony92

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
2,398
Reaction score
3,691
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?

Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
 
Pole. Nimeona tangazo kwamba ni vituo vyote watavipitia kuvikagua.
 
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?

Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Huu utaratibu upo muda mrefu, kuuziwa mafuta kwenye kidumu uje na barua kutoka serikali ya mtaa iandikwe kwa matumizi ya nini.

Kuzuia uchomaji wa vituo vya polisi kwa mujibu wa intelijensia 😀😀😀
 
Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?

Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Pampu zao zinaiba mafuta ukinunua lita 5 kwenye kidumu inakua lina nne na robo sasa wanachukua tahadhari mapema msiwashtukie
 
Kwahiyo EWURA inataka wenye water pump, ma generator na immovable mashines zote ziwe zinabebwa hadi kwenye vituo vya mafuta?!

Huko kwenye taasisi kuna watu wakiwa wamekaa kwenye viti vya kuzunguka huwa wanafikiria ujinga sana!
Kuna gallon maalum za kuwekea petrol sio kila kopo,chupa au dumu. Hilo ni agizo la siku nyingi sema watu hawafuatilii.
 
Hebu tupe mfano wa hizo gallon
Screenshot_20240917_130013_Google.jpg
Screenshot_20240917_125959_Google.jpg
 
Back
Top Bottom