GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
We una sh ngapi? Usiogope sana maana gari la lita 40,000 ni kama milioni themanini faida yako ni 100-150 tzsKweli....mtaji tu ndio mrefu kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We una sh ngapi? Usiogope sana maana gari la lita 40,000 ni kama milioni themanini faida yako ni 100-150 tzsKweli....mtaji tu ndio mrefu kidogo
Misukule ya dikteta mna tabu,yaani hapo na ujinga wako unataka kusema wakati wa mungu wenu Magufuli hayakuwepo hayaAfu Hivi Vituo mbona Vimeibuka kama Uyoga ndani Ya muda mfupi Kama miezi Mitano Iliyopita?.....!
Nyie wanasiasa.Misukule ya dikteta mna tabu,yaani hapo na ujinga wako unataka kusema wakati wa mungu wenu Magufuli hayakauwepo haya
Mzigo unaweza kupewa Mali kauli na kampuni utakayobeba jina Lao. Shughuli ni mtaji wa eneo na kuligeuza eneo kuwa kituo cha kisasa. Pesa hio sina.We una sh ngapi? Usiogope sana maana gari la lita 40,000 ni kama milioni themanini faida yako ni 100-150 tzs
Kwa sasa sheria inataka pawe na umbali wa mita 200, toka kituo kimoja hadi kingine.Yeah hiyo ndio sheria ya zamani labda iwe imebadilishwa ngoja nitaisaka.. Mimi hapa Kibada mpaka mjimwema nimeshahesabu si chini ya nane
Ardhi kununua haipungui milioni 500, au nao sio ktk mtajiWe una sh ngapi? Usiogope sana maana gari la lita 40,000 ni kama milioni themanini faida yako ni 100-150 tzs
Mziki upo kwenye kununua eneo tuMzigo unaweza kupewa Mali kauli na kampuni utakayobeba jina Lao. Shughuli ni mtaji wa eneo na kuligeuza eneo kuwa kituo cha kisasa. Pesa hio sina.
Sawa sawa. Maana gharama kupata eneo na kubadili matumizkMzigo unaweza kupewa Mali kauli na kampuni utakayobeba jina Lao. Shughuli ni mtaji wa eneo na kuligeuza eneo kuwa kituo cha kisasa. Pesa hio sina.
Kituo hadi kituo. Wasipojenga kwenye makazi watajenga wapi industrial area? Ukitaka kujaza mafuta uende industrial area. Kutoka Tegeta Hadi Posta barabara ile ina makazi 90% ya urefu wake je isiwe na kituo cha mafuta?Nimeona sheria ya sasa inasema mita 200[emoji848] bado nina mashaka na hii sheria ni mita 200 toka makazi ya watu au kituo hadi kituo?
By the way uchawi na milipuko wapi na wapi?[emoji848][emoji848][emoji848]Kilomita 5 umbali toka kituo hadi kituo SIO kweli.
Ni mita 200 katika upande mmoja, ila kama barabara inawatenganisha haiangalii umbali.
By the way uchawi na milipuko wapi na wapi? Kwa nini wachawi wanajibadili kuwa paka usiku kwa nini asije na sura yake halisi ama mtu wa tatu huwa halali ni mwili na akili tu zinapumzika ila roho ipo macho.
We una sh ngapi? Usiogope sana maana gari la lita 40,000 ni kama milioni themanini faida yako ni 100-150 tzs
Nimelinganisha na nchi nilizowahi kutembelea ... Vituo vya mafuta viko nje ya miji na naamini unajua ya kwamba tangu kuwaka taa ya tahadhari ya kuongeza mafuta basi una uwezo wa kwenda kilometer zisizopungua 30 mpaka gari lizime kabisaKituo hadi kituo. Wasipojenga kwenye makazi watajenga wapi industrial area? Ukitaka kujaza mafuta uende industrial area. Kutoka Tegeta Hadi Posta barabara ile ina makazi 90% ya urefu wake je isiwe na kituo cha mafuta?
Hiyo 500mill kama unataka kuweka mjini ushindane na tajiri victoria mlokole mwenzangu anayeogopeka kwa mtaji mkubwa katika biashara ya mafuta.Ardhi kununua haipungui milioni 500, au nao sio ktk mtaji
Zamani nafikiri ilikuwa 1km kituo hadi kituo.By the way uchawi na milipuko wapi na wapi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa vipindi vilivyokuwa vinayotolewa na wataalam kutoka BP enzi zile ITV ndio nilijifunza hilo la umbali baada ya mdau mmoja kuuliza akitolea mfano wa vituo vya pale Fire kisha Magomeni na Mwembechai
Sio lazima nimeona vingi tu nje ya nchi vipo karibu na makazi kabisa. Supermarkets nyingi zina vituo vya mafuta na zipo kwenye residential areas.Nimelinganisha na nchi nilizowahi kutembelea ... Vituo vya mafuta viko nje ya miji na naamini unajua ya kwamba tangu kuwaka taa ya tahadhari ya kuongeza mafuta basi una uwezo wa kwenda kilometer zisizopungua 30 mpaka gari lizime kabisa
Mashine pampu? Pampu moja milioni 15 ukitaka nzuriHadi uanze kununua hayo mafuta unatakiwa ujenge hiyo petrol station yenyewe. Minimum lazima na Kama 400 million hapo unakuwa na machine Kama 4
By the way uchawi na milipuko wapi na wapi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Nilikuwa mfuatiliaji mzuri wa vipindi vilivyokuwa vinayotolewa na wataalam kutoka BP enzi zile ITV ndio nilijifunza hilo la umbali baada ya mdau mmoja kuuliza akitolea mfano wa vituo vya pale Fire kisha Magomeni na Mwembechai
Environmental imoact assessment lazima ifanyikeHata huku vimepangana kwa ukaribu sana haizidi hata 1KM kwa vituo vitatu.
Nafikiri wakubwa wao wakishapokea kodi yao tu mambo ya usalama hawayakumbuki tena.