Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Nilichoka pale Tandika roundabout ya majaribio, wamevunja maduka ya sim wamejenga petrol station. Daaaah kituo kimebanwa hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena vya mbezi viko karibu mno na makazi ya watuNjia ya Mbezi beach to Mbezi mwisho kupitia Goba ni balaa. Naona wawekezaji wameamua
Yes,kuna mafuta ya wizi sana! Tena kwenye Transit ndiyo wanaiba mno! Lake Oil ndiyo tabia zake! Anaagiza meli nzima,anasema haya ni transit,kumbe ni locally,anapiga pesa! Maisha yanaendelea!
Kwenye kuiba mafuta kwenye pump,hii pia ipo sana,unaweka mafuta ya laki moja,yanaingia kwenye tank ya 80,000
Bandarini kuna watu wana pipe kabisa,wananyonya mafuta hadi kwenye depot zao huko Kigamboni! Kipindi cha nyuma,kuna watu walikamatwa,pipe imepita sebuleni juu ya tiles ya nyumba ya mtu,jiulize kwa nini hawakufungwa?? Maana yake kuna watu vibopa nyuma yao!
Pia kuna wale ambao wana matank mabubwa yakutunza mafuta kama kina World Oil,wale pia wanapiga mno pesa kaka! Ukitaka kuwin game jilipue kwa akili lakini!
Maghorofa yenyewe haya ya kichina[emoji848][emoji2827]Imagine itakuwaje kikatokea kikundi cha magaidi (Eeh Mungu tuepushe) kikakamata vituo vinne tu katikati ya jiji na kuvilipua... !? Ninini kitatokea?
Mtaalam Mshana Jr .hapo umenena vyema.tujitafakari Kama taifa.je tupo salama?
Wakienda wanafikia mahotelini tu na kuagiziwa vimwana vya kizunguHiyo nchi ni ya kishenzi sana viongozi huwa hawasafiri huko dunia waone miji ya wenzetu ilivyopangika kistaarabu
[emoji2][emoji2][emoji2]The end justifies the means kaka..!Nchi ngumu sana hii kaka!
Ally Awadh,nakumbuka miaka ya 2005 alikua mtu wa kawaida sana! Tumekaa nae sana pale kidogo chekundu kwa wakili wake *******, kipindi hicho ******* yupo chini ya kampuni ya ******* and Advocate! Nikaja shangaa Ally leo hii ni bilionea! Wakili wake ****** akatafutiwa kazi TRA,tena yupo kitengo cha Large Tax Payee! Tena tulikua tunamwita Aliiiiii!
Mtaalamu.. Kuna kupata KIBALI ya kwamba serikali imeridhia.. ila pia kunakupata KIBALI kwasababu sio tu serikali imeridhia bali pia usalama wa watu umezingatiwa beyond doubts ..Je eneo limepata kibali cha kubadili matumizi?
Rushwa ikitembea hamna sheria inayosimamaHuo ndio utaratibu ila haufwati.
Juzi nilipita mitaa ya temeke kule karibia na stend ya kuelekea mikoa ya kusini. Jirani na pale kuna jamaa kanunua nyumba 2 kazibomoa anajenga petrol station eneo hilo japo ni barabarani amezungukwa na makazi ya watu pia petrol station nyingine ipo karibu na hiyo anayojenga.
Bongo hapa sheria nyingi zipo Kwenye makaratasi ila hazitekelezwi
Lakini si kweli kwamba huwa mnashirikishwa katika upembuzi wa kina namna hiyo, kwa kiwango kinachotakikana! Na nani Hata kama ushiriki unakuwepo ni nani anawaongoza mwenye ujuzi wa kuwachambulia potential risks na kuwasaidia kuchagua kwa usahihi!?? [emoji3064][emoji848][emoji2827]Mtaalamu.. Kuna kupata KIBALI ya kwamba serikali imeridhia.. ila pia kunakupata KIBALI kwasababu sio tu serikali imeridhia bali pia usalama wa watu umezingatiwa beyond doubts ..
Kwa sasa kwingi ni procedure tu zinafuatwa Ila sio professional accountability... Kesho kituo kikiwaka moto na watu wa pembeni wakaungua au hata kufa kama hivyo vituo vina bima mnaweza msilipwe hata fidia yenyewe...
Kwa maana kwenye kufuata utaratibu wa kubadili matumizi na vibali Ushahidi unaonesha majirani mliridhia mchakato...
Lakini si kweli kwamba huwa mnashirikishwa katika upembuzi wa kina namna hiyo, kwa kiwango kinachotakikana! Na nani Hata kama ushiriki unakuwepo ni nani anawaongoza mwenye ujuzi wa kuwachambulia potential risks na kuwasaidia kuchagua kwa usahihi!??
Kwa kawaida mtaalamu wa Halmashauri ana pledge allegiance kwa serikali na Halmashauri yake ambao ndio waajiri wake na ndio wanaompa Hadidu za rejea..nani anamtetea mwananchi!? Hilo ni swali la kimfumo zaidi.
Baharini naona...Sijaelewa maana ya huu uzi...
Kwamba vituo vya kujaza magari mafuta vijengwe wapi sasa?
Kwa kawaida mtaalamu wa Halmashauri ana pledge allegiance kwa serikali na Halmashauri yake ambao ndio waajiri wake na ndio wanaompa Hadidu za rejea..nani anamtetea mwananchi!? Hilo ni swali la kimfumo zaidi.[emoji2827]Mtaalamu.. Kuna kupata KIBALI ya kwamba serikali imeridhia.. ila pia kunakupata KIBALI kwasababu sio tu serikali imeridhia bali pia usalama wa watu umezingatiwa beyond doubts ..
Kwa sasa kwingi ni procedure tu zinafuatwa Ila sio professional accountability... Kesho kituo kikiwaka moto na watu wa pembeni wakaungua au hata kufa kama hivyo vituo vina bima mnaweza msilipwe hata fidia yenyewe...
Kwa maana kwenye kufuata utaratibu wa kubadili matumizi na vibali Ushahidi unaonesha majirani mliridhia mchakato...
Lakini si kweli kwamba huwa mnashirikishwa katika upembuzi wa kina namna hiyo, kwa kiwango kinachotakikana! Na nani Hata kama ushiriki unakuwepo ni nani anawaongoza mwenye ujuzi wa kuwachambulia potential risks na kuwasaidia kuchagua kwa usahihi!??
Kwa kawaida mtaalamu wa Halmashauri ana pledge allegiance kwa serikali na Halmashauri yake ambao ndio waajiri wake na ndio wanaompa Hadidu za rejea..nani anamtetea mwananchi!? Hilo ni swali la kimfumo zaidi.
Ohoooo !!Afu Hivi Vituo mbona Vimeibuka kama Uyoga ndani Ya muda mfupi Kama miezi Mitano Iliyopita?.....!
Atajuana mwenyewe na wakubwa.wanao Jenga vituo ni matajiri😂😂😂😂😂😂Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
"Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya
mafuta nchini," amesema.
=====
Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Ametoa mfano wa eneo lililopangwa kuendeleza ujenzi wa maghorofa vibali vifuate mpango.
Source: Mwananch
Wazir huyo atahimili mziki wa wauza mafutaSerikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
"Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya
mafuta nchini," amesema.
=====
Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.
Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.
“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.
Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.
Ametoa mfano wa eneo lililopangwa kuendeleza ujenzi wa maghorofa vibali vifuate mpango.
Source: Mwananchi.