Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

Nilichoka pale Tandika roundabout ya majaribio, wamevunja maduka ya sim wamejenga petrol station. Daaaah kituo kimebanwa hatari
 
 
Imagine itakuwaje kikatokea kikundi cha magaidi (Eeh Mungu tuepushe) kikakamata vituo vinne tu katikati ya jiji na kuvilipua... !? Ninini kitatokea?
Mtaalam Mshana Jr .hapo umenena vyema.tujitafakari Kama taifa.je tupo salama?
 
Imagine itakuwaje kikatokea kikundi cha magaidi (Eeh Mungu tuepushe) kikakamata vituo vinne tu katikati ya jiji na kuvilipua... !? Ninini kitatokea?
Mtaalam Mshana Jr .hapo umenena vyema.tujitafakari Kama taifa.je tupo salama?
Maghorofa yenyewe haya ya kichina[emoji848][emoji2827]
 
Ila hii nchi Bwana kila mtu analialia...

Kwanini raia wasiende mahakamani kushtaki hivyo vituo kwa kukiuka sheria za mazingira, kwanini kila kitu tunataka serikali ifanye wakati tunaona hayo Mambo yanakuja kutuathiri sisi moja kwa moja !
 
[emoji2][emoji2][emoji2]The end justifies the means kaka..!
 
Je eneo limepata kibali cha kubadili matumizi?
Mtaalamu.. Kuna kupata KIBALI ya kwamba serikali imeridhia.. ila pia kunakupata KIBALI kwasababu sio tu serikali imeridhia bali pia usalama wa watu umezingatiwa beyond doubts ..

Kwa sasa kwingi ni procedure tu zinafuatwa Ila sio professional accountability... Kesho kituo kikiwaka moto na watu wa pembeni wakaungua au hata kufa kama hivyo vituo vina bima mnaweza msilipwe hata fidia yenyewe...

Kwa maana kwenye kufuata utaratibu wa kubadili matumizi na vibali Ushahidi unaonesha majirani mliridhia mchakato...

Lakini si kweli kwamba huwa mnashirikishwa katika upembuzi wa kina namna hiyo, kwa kiwango kinachotakikana! Na nani Hata kama ushiriki unakuwepo ni nani anawaongoza mwenye ujuzi wa kuwachambulia potential risks na kuwasaidia kuchagua kwa usahihi!??

Kwa kawaida mtaalamu wa Halmashauri ana pledge allegiance kwa serikali na Halmashauri yake ambao ndio waajiri wake na ndio wanaompa Hadidu za rejea..nani anamtetea mwananchi!? Hilo ni swali la kimfumo zaidi.
 
Rushwa ikitembea hamna sheria inayosimama
 
Lakini si kweli kwamba huwa mnashirikishwa katika upembuzi wa kina namna hiyo, kwa kiwango kinachotakikana! Na nani Hata kama ushiriki unakuwepo ni nani anawaongoza mwenye ujuzi wa kuwachambulia potential risks na kuwasaidia kuchagua kwa usahihi!?? [emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Kwa kawaida mtaalamu wa Halmashauri ana pledge allegiance kwa serikali na Halmashauri yake ambao ndio waajiri wake na ndio wanaompa Hadidu za rejea..nani anamtetea mwananchi!? Hilo ni swali la kimfumo zaidi.[emoji2827]
 
Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.

Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.

"Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya
mafuta nchini," amesema.

=====

Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo.

Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula.

“Lengo ni kutoa nafasi kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wizara zinazohusika na utoaji wa vibali kufanya tathmini ya kina kuhusu ujenzi wa vituo vya mafuta nchini,” amesema.

Aidha, Dk Angeline ameagiza kusitishwa kutolewa kwa vibali vipya vya ujenzi vinavyokiuka mipango kabambe ya majiji, manispaa, miji na kusitisha ugawaji wa viwanja kiholela unaosababisha taswira za miji kuharibika.

Ametoa mfano wa eneo lililopangwa kuendeleza ujenzi wa maghorofa vibali vifuate mpango.

Source: Mwananchi.
 
Atajuana mwenyewe na wakubwa.wanao Jenga vituo ni matajiri😂😂😂😂😂😂
 
Wazir huyo atahimili mziki wa wauza mafuta

Ova
 
Sasa huyu nae ni nani ananifinya hapa nlipokaa anasema eti money laundering. Sasa inahusikaje hapa? Eti GTs Yani kwamba watu wanasafishia hela zao kwenye vituo vya mafuta? Aah sidhani. Ngoja nimjibu nimwambie sidhani kama ni money laundering maana wanaonunua apartments za million 300 nao tuwaweke fungu gani? Hata hao nao sio money laundering wengi ni za urithi🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…