Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672.
Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa vituo vya mafuta walitoa tamko kueleza kuwa jumla ya vituo vilivyoathirika ni 41 huku vingi vikiwa vya Lake Oil ambapo Mkurugenzi wake alisema ni vituo 38 vilichomwa nchi nzima
Hivyo vituo vya mafuta 631 vilivyoongeza kutoka kwenye idadi iliyosemwa na Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta Tanzania (TAPSOA) imetoka wapi?
Serikali inajaribu kupika takwimu za uharibifu wa mali ili kupata huruma, huku wakiwa na kigugumizi cha kutaja idadi ya watu waliowaua kwasababu hilo kwao limekalia vibaya.
Naamini Takwimu zote zilizotolewa na Waziri Mkuu ni za kutunga, tunazikataa.