Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,172
Utata ni kwa hao wakuwapa hela sasa ,maana mikwamo wanayokutana nayo huko mbele mbele ni zaidi ya anaeogelea kwenye tope lililoanza kukauka .
wasichoelewa nikwamba , hizo taqwimu zao badala ya kuwasaidia ndizo zinazowaongezea matatizo zaidi maana wafuatiliaji inawasaidia kuwapa picture kuwa kutokana na volume tajwa maana yake idadi inayotajwa na waliyoathirika inaweza kuwa na ukweli pasi na shaka.
Conclusion,wadau wao watahitimisha kuwa utawala umeshiriki kuua kundi kubwa sana la waandamanaji na hivyo uzito wa kosa lao kufanyika kuwa kubwa kuliko kawaida .
Nadhani hapo kwenye eneo la faida na hasara hawajalifanyia hesabu vizuri.