Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Takwimu haziendi na uhalisia kabisa kama ambavyo kura za Samuya haziendani na uhalisia.Wahuni wanajaribu kuhalalisha mauaji ya vijana wetu.
Kwamba maandamano yalikuwa na vurugu kubwa ndo maana wakawauwa waandamanaji barabarani na majumbani kwao.Wahuni wanajaribu kuhalalisha mauaji ya vijana wetu.
Anza na takwimu za uchaguzi kisha utapata jibuGuys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672.
Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa vituo vya mafuta walitoa tamko kueleza kuwa jumla ya vituo vilivyoathirika ni 41 huku vingi vikiwa vya Lake Oil ambapo Mkurugenzi wake alisema ni vituo 38 vilichomwa nchi nzima
Hivyo vituo vya mafuta 631 vilivyoongeza kutoka kwenye idadi iliyosemwa na Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta Tanzania (TAPSOA) imetoka wapi?
Serikali inajaribu kupika takwimu za uharibifu wa mali ili kupata huruma, huku wakiwa na kigugumizi cha kutaja idadi ya watu waliowaua kwasababu hilo kwao limekalia vibaya.
Naamini Takwimu zote zilizotolewa na Waziri Mkuu ni za kutunga, tunazikataa.
View attachment 3508184
Kasome hiyo katiba upyaKwa mujibu wa katiba yetu Samia akipoteza maisha Mwigulu ndiye anakuwa Rais wa Tanzania
Uzee unanisumbua, nimechanganya makamu wa rais na waziri mkuuKasome hiyo katiba upya
ndio maana tunasema akawe Waziri Mkuu wa Burundi, maana analeta propaganda tu! Nchi serious haiwezi kushindwa kutoa idadi ya raia waliouliwa na serikali yenyewe kwa kisingizio cha eti kutoa idadi ni kusherehekea!Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672.
Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa vituo vya mafuta walitoa tamko kueleza kuwa jumla ya vituo vilivyoathirika ni 41 huku vingi vikiwa vya Lake Oil ambapo Mkurugenzi wake alisema ni vituo 38 vilichomwa nchi nzima
Hivyo vituo vya mafuta 631 vilivyoongeza kutoka kwenye idadi iliyosemwa na Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta Tanzania (TAPSOA) imetoka wapi?
Serikali inajaribu kupika takwimu za uharibifu wa mali ili kupata huruma, huku wakiwa na kigugumizi cha kutaja idadi ya watu waliowaua kwasababu hilo kwao limekalia vibaya.
Naamini Takwimu zote zilizotolewa na Waziri Mkuu ni za kutunga, tunazikataa.
Maandamano yalitokea Dar, Mwanza, SONGWE, ARUSHA, Mbeya, Dodoma na GEITA na haikuwa TANZANIA mzimaMwigulu ni Tapeli tu ,liongo flani hivi ,yaani pikipi elfu 2 zichomwe unadhani ni kitu kidogo? Vituo 672 vya wapi hivyo? Eti vituo vya polisi 159? Vya wapi? Niliwaambia chawa watoe list ya vituo hata 15 vilivyochomwa tu TZ nzima ,wameshindwa!!
sijui kwanini Guy's hajataja idadi ya vituo vya kupigia kula vilivyo haribiwa,Usizishangae hizi takwimu.. Usizishangae kabisa kwakuwa kama utazishangaa maana yake utakuwa hujaziona wala kuzisikia zile za uchafuzi mkuu zilizotoa ushindi wa 98%
UKIWA MUONGO HAKIKISHA UNA TAARIFA SAHIHI ILI WALAU UKIDANGANYA, VISIPISHANE SANA
Wamiliki wa Vituo vya mafuta Walizungumza na Vyombo vya habari 7.11.2025 na kuwa jumla ya Vituo 41 vya mafuta vilichomwa moto nchi nzima.
Waathirika wakubwa wa Vituo vya mafuta kuchomwa moto ni LAKE OIL wao walisema wazi jumla ya vituo vyao 38 vilichomwa moto nchi nzima—na kupelekea watanzania 300 kupoteza Ajira kutoka kwenye kampuni hiyo.
GUY’s anatuambia vituo vya mafuta vilivyochomwa moto nchi nzima ni 672 yani ukitafuta wastani wa mikoa yote 7 iliyoandaman unapata jumla ya vituo 96 kila mkoa vilichomwa moto.
Hizi takwimu za GUYS nafikiri anataka kutengeneza pesa kupitia maafa ya Maandamano. Anaandaa dodoso kupelekea MABEBERU wawape hela. Wamegeuza Maafa kama MRADI.
View attachment 3508239View attachment 3508240