Yaani wewe bado unaiamini hii Serikali?Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta (Shell) zilizoathirika ni 672.
Guys ikumbukwe kabla ya mkutano huo, Novemba 7, umoja wa Wamiliki wa vituo vya mafuta walitoa tamko kueleza kuwa jumla ya vituo vilivyoathirika ni 41 huku vingi vikiwa vya Lake Oil ambapo Mkurugenzi wake alisema ni vituo 38 vilichomwa nchi nzima
Hivyo vituo vya mafuta 631 vilivyoongeza kutoka kwenye idadi iliyosemwa na Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta Tanzania (TAPSOA) imetoka wapi?
Serikali inajaribu kupika takwimu za uharibifu wa mali ili kupata huruma, huku wakiwa na kigugumizi cha kutaja idadi ya watu waliowaua kwasababu hilo kwao limekalia vibaya.
Naamini Takwimu zote zilizotolewa na Waziri Mkuu ni za kutunga, tunazikataa.
Ccm wanapenda takwimu lakini kuzitumia hawajui...mfano takwimu za uchaguzi mkuu haziakisi hali halisi ilivyokuwa siku ya kupiga kura so ni UONGO!.
Wakiambiwa watoe takwimu za vifo vya waandamanaji wanaleta propaganda, wanasahau kwenye ajali ya mv bukoba walitoa takwimu...au vifo vya ajali za barabarani kila wakati huwa wanasema watu kadhaa (10) wamepoteza maisha kufuatia ajali ya bus a liligongana uso kwa uso na lorry c!
Mwigulu hakufaa kbs kuwa WM, hana credibility hizo...kwakifupi ni mhuni!
Hii ndio sababu kuu, wana 'dogoisha' mauaji na kukuza uharibifu wa mali.Wahuni wanajaribu kuhalalisha mauaji ya vijana wetu.
Maandamano yalitokea Dar, Mwanza, SONGWE, ARUSHA, Mbeya, Dodoma na GEITA na haikuwa TANZANIA mzima
Maandamano yenyewe hayakudumu hata Kwa saa 24
Sasa hayo masheli na piki zipi zilichomwa moto
Hizi zama uongo hauwezi kuishi
Ogopa matapeli.Vituo vya Mafuta kuchomwa; Tuamini takwimu za Serikali dhalimu (vituo 672), au Wamiliki wa Vituo (41)?
Labda useme akisafiri yeye pamoja na Nchimbi kwa mpigo, lakini Samia akidanja, Nchimbi ndiye!Kwa mujibu wa katiba yetu Samia akipoteza maisha Mwigulu ndiye anakuwa Rais wa Tanzania