Yoranda
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 341
- 338
Habari za asubuhi Watanganyika wenzangu.
Lengo la kuwapa ajira wasanii bila shaka inalenga kuwapata wasikilizaji, kuwagombea audience kutengeneza base.
Zembwela hata mie amenivutia kumsikiliza, zaidi yake zembwela ana iq nzuri anapambanua mambo, Masoud Kipanya ni mmojawapo wanajua kuchambua mambo.
Ushauri wangu kwa wasanii hawa. Wasinyonywe, wajue wanavipaji/vipawa vinavyotumika free of charge.
Watambue wanazulumiwa. Pale Ulaya wachezaji wanaposajiliwa kuna makubaliano. Na kila mchezaji ana thamani yake. Hawa viumbe wapewe hadhi.
Wasanii kama Kingwendu so tu kuvuta watu hata matangazo ya biashara yatatumika kupitia yeye.
Waswahili tuamke