usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Kitenge huo usomaj wake wa makelele kama yupo bar cjawah muelewa kabsaWanaboa sana jamaa.
Halafu wakishikilia kakitu kamoja wanaweza kukazungumzia mpaka kipindi kikaisha, sijui ni usomaji gani wa magazeti wa kijinga namna ile.
Nakaribia miezi 6 siwasikii.
Wangemueaka hata pj angewasomea vzr
Magazet
Zembwela angetulia tu eat radio
Kile kipindi ndo kilimfaa super mix