Kuna kitu kinaotwa ubunifu,Tatizo la JF Kuna watu wanataka wafanane mawazo,Kuna watu wako very conservative Kama mzee Wenger.Tukubali tu kuwa maisha yamebedilika na hayo makelele unayolalamika wengine Ndio wanapenda na wanaenjoy.kipindi Cha magazeti mtu anasoma halafu mpaka kinaleta usingizi kipindi Kama hicho kimepitwa na wakati.
kitenge na Zembwela wameamua kutafuta vichwa vichache vya magazeti vinavyovutia Ndio wanavijadili hususani Ni kwa magazeti matatu Hadi matano.Zile habari za "shule ya msingi Madudu Haina madarasa ya kutosha"hawasomi.kwanza kipindi kina dakika 5 tu za kusoma na 5 za kuchambua Basi Sasa wewe unataka wasome Kama wenye muda mrefu na wanasoma habari hazina kichwa Wala miguu.Kaangalie. Insta jinsi clip zao zinavyobamba,hao wanaoomba taratibu wambie nao waweke Kama zitafanana.
Kiufupi ubunifu unaweza kumpendeza mtu au ukakukera,Ni kawaida.Tusitake kuishi Kama miaka ya 2011,maisha yamebedilika.