Deogratius Kisandu
Mkuu kati ya mada zako ambazo huwa zinanisisimua mimi pamoja na watu wengine ni hizi:
1.Historia ya maisha yako
2.Kudhulumiwa haki/mali zako
3.Safari yako kisiasa
4.Ndugu zako kukutenga na wengine kutaka roho yako
5.Ndoto yako..unataka kuwa nani hapa Tanzania
Viambatanisho/vyeti/nyaraka/ushahidi wa yale unayoyaelezaga huwa ni burdani sana sana.
Pia Wewe kuwa Rais/mbunge wa NCHI HII.
Deogratius nalimi kisandu...kitukuu cha kisandu