Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
494
Reaction score
856
Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote.

Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
 
Subiri mambo hayajaiva, yakiiva utaona, cha msingi endelea kujiandaa
 
Mwalimu jiandae kwa usaili wa kuandika hapo soma sana mambo ya darasani.Sasa hivi Taifa litahitaji jamii bora kwa maendeleo na ustawi wa Taifa,hivyo wewe chukua namba ya mtihani iandike pembeni iweke kichwani na uzingatie tarehe uliyoandikiwa.Mambo ya venue waachie PRSRS
 
Wenzako wameshaanza safari mkuu, wanaelekea huko.
 
Tz tuna shida sana! Mijitu imejaa maofisini wanalea vitambi TU! Shit!
 
mh! ni usaili au usahili...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…