Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Bado hujasemaaa.... Kwa hiyo mtoto ana kuwa haramu ....ndio au hapana....Labda huna dini. Uislam umekataza kuzaa nje ya uliohalalishiwa kuwaoa, kinyume cha hapo unafanya haramu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasemaaa.... Kwa hiyo mtoto ana kuwa haramu ....ndio au hapana....Labda huna dini. Uislam umekataza kuzaa nje ya uliohalalishiwa kuwaoa, kinyume cha hapo unafanya haramu.
Karudie kunisoma, siwezi kujibu swali mara 10. Umekurupuka. Mtoto wa haramu haimaanishi mtoto ni haramu.Bado hujasemaaa.... Kwa hiyo mtoto ana kuwa haramu ....ndio au hapana....
Mkuu, ulishawahi kukitembelea kituo chochote cha watoto? Kama bado, nakushauri ufanye hivyo. Na itakuwa vizuri, ukaomba nafasi ya kujitolea kwa muda, hata mwezi mmoja tu. Kuna mengi utakayoyabaini yatakayobadilisha kabisa mtazamo wako.Karudie kunisoma, siwezi kujibu swali mara 10. Umekurupuka. Mtoto wa haramu haimaanishi mtoto ni haramu.
Wewe kama umezaliwa nje ya ndoa, usimtafute baba'ko, ni mshenzi tu mmoja aliyemrubuni mama'ko kwa ujinga au umasikini wake, akamvulia chupi ukapatikana wewe. Au ni mshenzi mmoja aliyembaka mama'ko.
Ukweli huwa mchungu na tusitake kuuhalalisha uzinzi na uasherati kupitia watoto wasiokuwa na hatia.
Dkt. Gwajima D aunde tume wapitie kila kituo cha yatima, baba za hao watoto wajulikane na wahukumiwe kisheria.
Siwezi kwenda kutembelea biashara za utumwa. Nafahamu namna ya kuhudumia yatima Kiislam.Mkuu, ulishawahi kukitembelea kituo chochote cha watoto? Kama bado, nakushauri ufanye hivyo. Na itakuwa vizuri, ukaomba nafasi ya kujitolea kwa muda, hata mwezi mmoja tu. Kuna mengi utakayoyabaini yatakayobadilisha kabisa mtazamo wako.
Inawezekana umeshasikia mengi kuhusu hivyo vituo vya watoto, lakini utakayojionea wewe mwenyewe yatakuwa na impact kubwa sana.
Fanya hivyo halafu uulete mrejesho. Siyo agizo lakini, nj ushauri tu ambao ninaamini unaweza ukawa na impact kubwa sana kwako.
Asante 🙏
Watoto no watoto, bila kujali dini zao. Je! Umeshawahi basi hata kukitembelea cha watoto kinachoendeshwa Kiislamu?Siwezi kwenda kutembelea biashara za utumwa. Nafahamu namna ya kuhudumia yatima Kiislam.
Sijui nisemeje ..Kwa uandishi huu yaelekea unaishi kwenye Dunia Yako !Karudie kunisoma, siwezi kujibu swali mara 10. Umekurupuka. Mtoto wa haramu haimaanishi mtoto ni haramu.
Wewe kama umezaliwa nje ya ndoa, usimtafute baba'ko, ni mshenzi tu mmoja aliyemrubuni mama'ko kwa ujinga au umasikini wake, akamvulia chupi ukapatikana wewe. Au ni mshenzi mmoja aliyembaka mama'ko.
Ukweli huwa mchungu na tusitake kuuhalalisha uzinzi na uasherati kupitia watoto wasiokuwa na hatia.
Dkt. Gwajima D aunde tume wapitie kila kituo cha yatima, baba za hao watoto wajulikane na wahukumiwe kisheria.
Una matatizo we ajuza......Karudie kunisoma, siwezi kujibu swali mara 10. Umekurupuka. Mtoto wa haramu haimaanishi mtoto ni haramu.
Wewe kama umezaliwa nje ya ndoa, usimtafute baba'ko, ni mshenzi tu mmoja aliyemrubuni mama'ko kwa ujinga au umasikini wake, akamvulia chupi ukapatikana wewe. Au ni mshenzi mmoja aliyembaka mama'ko.
Ukweli huwa mchungu na tusitake kuuhalalisha uzinzi na uasherati kupitia watoto wasiokuwa na hatia.
Dkt. Gwajima D aunde tume wapitie kila kituo cha yatima, baba za hao watoto wajulikane na wahukumiwe kisheria.
Naunga mkono hoja 👍👏Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!
Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Mila na desturi zoteza Kitanzania zina ndoa, ndoa si lazima za kidini tu, zipo za kimila.Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!
Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Kanisome tena, siongelei "hela".Kwahiyo waachwe wazagae mtaani kisa orphanage zinapiga ela?? Kwani ni ela yako inayotoka? Ni ya serikali? Si watu wanatoa wenyewe! Hayajakukuta na usiombee utakuja kufuta bandiko hapa. Mtu anazaa mtoto anatamani amtupe shimoni kwasababu ya ugumu wa maisha anaamua akimbilie kumwacha huko we unakebehi. Mungu akusamehe