Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Mbona kama umejibu kimhemko ndugu!?
Kwa nilivyomuelewa ni kwamba hizo hatua za uzazi zina taratibu zake. Unaendaje kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mumeo/mkeo halafu useme hujapenda mtoto azaliwe Kwa njia hiyo!? [emoji848]

Kwa hiyo mwenye makosa ni mtoto?

Unachotaka kusema ni bora street children kuliko wanaolelewa vituoni?
 
Nahisi Pia inabidi kujua vile vituo si kwa ajili ya watoto Yatima tu , Ndomana tunasema vituo vya kulelea watoto Yatima na Watoto wanaoishi katika mazingira Magumu, Mtu kuishi katika mazingira magumu si Lazima awe Yatima..[emoji120]
 
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.

Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".

Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.

Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).

Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.

Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.

Tujadili.
Ubarikiwe sana kwa wazo hili
 
Za kupotea, au una ID nyingi ?

Tusaidie hapa.

Nini maana ya Watoto Yatima ?

Watoto wanao semwa na baadhi ya watu kuwa wa haramu, na ni wa mitaani hifadhi yao iwe wapi ?

Kuna umuhimu gani wa kuwa na vituo vya watoto yatima ?

Haya maswali bado hatujapata majibu yake.
Akikujibu nitag
 
Huenda leo unajiona mtoto halali na kukashifu wenzako sababu tu unayemuita baba yako alikubali kuficha aibu ya mkewe, lakini kumbe siyo mzazi wako halali.

Tujifunze kuwa na staha, wala hakuna mtoto haramu. Kuna mabinti wengi leo wana watoto nje ya ndoa lakini wamepatikana kwa njia ambayo hata wao hawakupenda.
 
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.

Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".

Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.

Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).

Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.

Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.

Tujadili.
Naunga hoja
 
Kwa mantiki kubwa upo sahihi japo nadhani umetumia maneno ambayo sio sahihi (harsh) sana unapo zungumzia watoto wenyewe (haramu etc) nadhani siku nyingine utaliweka sawa hilo.

Ila hawawezi kukuelewa kwa sababu hizo tayari ni biashara za watu na wanapiga pesa....in fact yatima wa kweli na wanao saidiwa kweli ni wachache sana, Jana nimekaa na jamaa mmoja yeye mwenyewe alushapigwa picha kibao na baadhi ya makampuni x and y akiwa ameshika bakuli la chakula hizo picha zinatumwa ulaya kwa kigezo Cha kuwa wanasaidia watoto yatima ila ni uongo sana na ulaya wanawapa hao watu fund za kutosha......huyo jamaa siyo yatima Wala nn anasema mara ya Kwanza alikuwaga haelewi baada ya kuijua hiyo michezo mpaka kesho hajawahi ruhusu kupigwa hizo picha za hiyo business tena

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!

Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Kwahiyo Mfalme SULEMAN aliyekuwa na ukwasi wa kutisha alikuwa uzao wa uasherati??maana mama yake alizaa na mfalme Daudi
 
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.

Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".

Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.

Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).

Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.

Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.

Tujadili.
Ulikuwa una hoja nzuri sema inaonekana umepaniki sana, pole
 
Majjipolo

Hiyo definition yako ya mtoto "harama" ni fikra zako tu.

"Mtoto wa haramu' ni yule anaepatikana nje ya ndoa. Elewa kuwa hapo inamaanisha baba na mama yake walifanya haramu, uzinzi au uasherati nje ya ndoa halali. Waliofanya haramu ni wazazi sio mtoto aliyepatikana.

Mada ni vituo vya "yatima" sio uharamu na uhalali wa watoto isipokua nimeona nikuweke sawa tu.
We fala tena fala falasi maada ilikuwa nzur unaanza kusema uasherat mara haramu haramu ya nyoko? Hiz dini siku labda nipewe uongoz kidogo nitaanza kuzishughulikia , nitataka watu waanze kusoma katiba tu kwenye hayo makanisa sijui mamisikiti yao.
 
Haramu unaifanya wewe unaezaa nje ya ndoa, haramu si mtoto. Hakuna sheria inayoruhusu uzinzi na uasherati Tanzania hii.
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Mtoto wa haramu' ni yule anaepatikana nje ya ndoa. Elewa kuwa hapo ina maanisha baba na mama yake walifanya haramu, uzinzi au uasherati nje ya ndoa halali.
Cain , Abel, Seth ni hramu? kwa wazazi wao walifunga ndoa ipi?....hata hao unao waona ni haramu leo kwa mujibu wa Dini za kizungu/kiarabu wazazi wao walikubaliana kabla ya kumuona padre/shekhe yamkini walionjan kabla!

kwa nini hawa weusi wakikubaliana pasipo shule ya mweupe! ni haramu ila wale wazungu na waarabu wakikubaliana ni halali! ….kweli hayoo? au ubaguzi mambo leo?,,,Dini zooote ni za hivi karibuni tu!

zamani kabla ya Mkoloni hatukuwa na Dini kwa muktadha huo watanzania/Africa weusi wooote wana asili ya Uharamu!...lkn pia hao watunza watoto wakila kidogo wkt watoto wenyewe wako vizuri kuna ubaya gani??

Mbona watoa misaada hatujalalamika kuwa misaada yetu inatumika vibaya? au ndo zile roho mbaya za Kiswahili ili kutuvunja moyo?? hata sisi tuna tume tofauti tofauti za kudhibiti kile tunacho kitoa!
 
Kwanini mtu ashindwe kulea mwanae na kumhukumu kwa kumpeleka kituo cha "yatima"? Fikiri!
Wengine wazazi walikufa wooote!! km vile ajalini, ukimwi, uchawi nk...
wengine wazazi ni vichaaa! eg kukataa mtoto wako wewe ni una kichaa cha uzazi! ukipona unarejeshewa!
wengine wanalelewa na vibibi!! haviwezi tena kulea vizuri vimechoka!!
wengine hawana uwezo kifedha!
wengine walemavu wa akili! km vichaa matahahira nk!
wengine Mmam za walifia Labour ward Akabki baba ! baba km baba hawezi anapleka kituoni!

je una la kusema kuhusu hawa wtu?
 
Yani wabongo kwa wivuu ni balaaa...!! Foundation nyingi za kusaidia watu huwa zinapigwa vita sanaa kwa kisingizio wanaoziendesha wanakula hela ila Ukimwambia mtu atoe alternative ya namna yatima wanaweza kusaidiwa hawezi kukwambiaa na hana jibuuu sasa unabaki unajiulia huyu mtu anahusda mpaka na Yatima??? Wapo wengi waliosaidiwa na hivyo vituo na wamefika mbalii so tupunguze husda sisemi kuwa Hakuna hela inayoliwaa ila nasema Uwepo wa hivyp vituo ni Msaada mkubwa zaidi kuliko visingekuwepo.
 
Watanzania wenzenu wakila hela za serikali mnawaita majina Oooh! Mafisadi hao! Milanguzi!wezi nk! wakila hela za wazungu Kupitia misaada kwa mayatima ndo km hivi mnalia weeee!! eti waongo hao, mnasikitikita weee!

wakt nyie hamtoi kitu kuwasaidia!haoa mayatima sasa tuwasaidie vipi nyie watu km siyo kuwapiga bakora kichwani ili akili ziwakae sawa?? make ndo mkoloni alivo wafanya ati!! hasa amabao hamkusoma!

wala hata kodi za serikali hamlipi!..lkn kusema weeee! Ulaya mtu mwenyewew anajipeleka kulipa Kodi ya serikali!
 
Back
Top Bottom