Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Umeninukuu vibayaHayo yote uliyoandika bado hujanukuu nioivyoandika kwenye post yangu. Kanisome tena. Hujuwi kusoma au unataka kubadilisha maneno? Huwezi kushindana na ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeninukuu vibayaHayo yote uliyoandika bado hujanukuu nioivyoandika kwenye post yangu. Kanisome tena. Hujuwi kusoma au unataka kubadilisha maneno? Huwezi kushindana na ukweli.
Wengi wanapeleka mahitqji lakini nayo yanauzwa.Mkuu FaizaFoxy kama usemacho ni kweli basi hawa wahusika watakuwa wanamkosea sana Mwenyezi Mungu kwa sababu wengi huwa tunakwenda kutoa sadaka zetu kwa watoto yatima ili zisaidie ku wafanyia wepesi kwenye maisha yao , sasa kama watu wanafanya huo upuuzi I don't know what to say
Nafikiri meanwhile badala ya kupeleka pesa nitakuwa napeleka mahitaji kama mahitaji mfano chakula, nguo, vifaa vya shule, kuwalipia gharama.za shule , kuwalipia bima etc kama ni kutoa pesa hapo kituoni badala ya kuwapa milioni moja mimi nitanunua mahitaji ya laki tisa na nusu halafu kituoni napeleka elfu hamsini...
Najua kwa wabongo jinsi walivyo sisi tunao toaga misaada kwenye hivyo vituo tunajuaga kuna upigaji wa ganji tu yani kama umetoa laki moja basi kiongozi wa kituo anapigilia elfu thelathini kituoni anatoa elfu sabini kumbe sio hivyo tena?
Kitu pekee ambacho huwa kinanikera kwenye vituo hivyo ni kuwatumia hao watoto kwenye dua na maombi marefu.
Kwa mfano kwenye kituo cha kikristo mtu anaenda kutoa msaada halafu anataka kupiga maombi ya kukesha na watoto.. ( unapata dhambi bure kwa kuwatesa viumbe wa Mwenyezi Mungu )
Kwenye kituo cha kiislamu mtu anaenda anatoa msaada wake halafu anataka kupiga Yasin 45 na hao watoto yatima( badala.ya kuwafanyia wepesi wewe ndo unazidi kuya fanya maisha yao kuwa magumu)
Nani alikwambia uki fanya maombi / dua na yatima ndo Mungu anasikia maombi yako?
Vitabu vinasema wasaidie watoto yatima sio fanya maombi/ dua na yatima.
Je utapenda mtoto wako akeshe kwenye dua/maombi kwa ajili ya mtu mwenye tamaa kama wewe?
Nafikiri ita make sense zaidi ikiwa wewe ndo uende kwenye kituo utoe msaada kisha uwaombee dua au uwafanyie maombi..
Ndio hiyo biashara ya utumwa kwa kutumia huruma za watu.acha watu wapige pesa me mwenyewe nina mpango wa kuomba hela ndefu nje kwa mgongo wa kituo cha yatima watakaobahatika kuhudumiwa watahudumiwa na nitafanya mambo yangu. huo ni mchongo kama michongo mingine
Tena hivyo vituo, vingine wanauza mpaka "bikra".Pale wazinzi wanapo jitahidi kutetea uzinzi wao na matunda yake.
Jamii Sasa imefanya zinaa kuwa tendo la sifa na haramu kuipaka mafuta.
Jamii ya Sasa inajivunia kudanga na aina nyinginezo za umalaya.
Jamii ya Sasa usingle mama ni sifa, yakiwashinda hayo ndio matokeo yake.
Namuuunga mkono FaizaFoxy kwenye hili.
Hakuna "yatima" kwenye hivyo vituo. Kanisome tena.Acha ujuha wewe, enzi za Giza my foot....acha ujuaji wa kijinga! Huna moral authority ya kuwaita Yatima watoto haramu! Shut up Faiza kama unateseka nenda na wewe kafungue, bytheway miccm si ndio inaendesha baadhi ya vituo?
Vituo ambavyo havina yatima na vya kulelea yatima vina uhalali au uharamu?Hi mada imenisikitisha sana.
Kwanza hakuna binadamu chini ya jua aliyekamilika.
Yaani Mtakatifu.
Kwa kifupi kutokana na na ubinadamu wetu sisi sote kuna wakati tunakuwa haramu.
Ni kwa njia ya kutubu tu na kupata msamaha toka kwa Mwenyezi Mungu ndio tunarudi kwenye uhalari.
Binadamu kama binadamu huna mamlaka ya kunyoosha kidole kusema yule ni halari na yule ni haramu.
Mungu peke yake ndio anajua nani haramu na nani halari.
Kuhusu huduma ya watoto yatima kwanza jiulize. Wewe kama wewe unatunza mayatima wangapi ?
Kama huna hata yatima mmoja unayemlea jiulize kwanini ?
Kuhusu huduma mbovu za watunza Yatima. Katika maisha yetu hakuna taasisi Takatifu.
Tunasikia kila leo jinsi wakuu wa taasisi wanavyo najisi watu katika taasisi hizo.
Mapadre wanabaka, wachungaji wanapora wake za watu, maaskofu wanarekodi picha chafu,
Maraisi wanauwa halaiki ya watu wasio na hatia.
Ni taasisi gani inayoendeshwa kitakatifu hapa duniani ?
Natoa pongezi nyingi kwa wamiliki wa vituo vya kutunza yatima. Wanachofanya ni ibada tosha.
1.Wewe unalea vizuri yatima wangapi ?Vituo ambavyo havina yatima na vya kulelea yatima vina uhalali au uharamu?
Wapi kaitwa binadamu haramu? Kama ulivyoadika?
Dukushangsi, ikiwa hata uandika vizuri huelewi utaelewa kusoma?
Rudi juu kanisome upya.
Bibi amezungumza jambo la msingi Sana ,jadilini hoja iliyoko ,lugha zake abaki nazo mwenyeweHata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.
Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).
Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".
Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.
Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).
Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.
Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.
Tujadili.
Una ubishi wa kitoto sana sanaHakuna yatima kwenye hivyo vituo, wamejazwa watoto wasio na bahati, watoto waliopatikana kwa wazazi wao kufanya haramu.
Wengine humo watoto wa babu zao na kaka zao.
Kuna "mizimu"Hakuna "yatima" kwenye hivyo vituo. Kanisome tena.
Mutah ikileta mtoto anakuwa mtoto wa mutah , ndio wale wanaitwa son of mutah?...vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).
Kwahiyo hapo mkuu jamii imekosa dini.Jamii ikishakosa Dini unategemea nini kama sio hayo mambo ya hivyo.
Jamii ikishakosa dini tegemea haya;
1. Watoto wa mitaani, wakati sheria za Dini zipo wazi
2. Vituo vya Mayatima na Wazee utadhani hakuna ndugu au watoto wa Kulea wazazi wao.
3. Single mother
Ilhali Kidini hakuna kitu kinachoitwa Single Mother
4. Mashoga na wasagaji
Jamii ikishakosa Dini tegemea ongezeko la mashoga na wasagaji kama sio mapenzi na wanyama.
Yaani mambo kiholela.
5. Watu kutembea Uchi Kama Mbuzi au Mbwa.
6. Watu kujilia mavyakula hovyohovyo mpaka uchafu na kunywa vinywaji bila kujali.
Ndio laana zenyewe hizo.
Serikali haishindwi kuondoa matatizo hayo Ila tatizo imeshakuwa biashara ya watu Fulani.
Watu wanachukua mamilioni ya pesa Kwa kisingizio cha kituo cha mayatima au watoto wa mitaani,
Watu wanachukua mapesa Kwa kisingizio cha project za kusaidia walemavu au makundi maalumu.
Ndivyio dunia ilipofikia
Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!
Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Sasa hapo Utumwa uko wapi?Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.
Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).
Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".
Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.
Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).
Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.
Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.
Tujadili.