Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Wewe haupo hivyo japo wengi wao wako hivyo....wao wanajiita waalqaida
Hizo ni fikra zako binafsi na potofu tu. Rudi juu kaisome post namba moja. Naamini hujaielewa na kwa majibu yako tu, nadiriki kusema, hutoielewa.
 
AlhamduliLlah I was raised by my dad and mom.

You are totally missing the point, the point is not who fathered who, go re read post #1.
I don't need to reread your thread because I'm not expecting anything sensible from you.
May foolishness and unguarded tongue not send you to eternity in the lake of fire.
Sounding illogical everywhere.. do you aware that you prophet wasn't raised by his own parents... According to your agnorence he as well he was wedlock child.😂😂
Wicked woman on the beat
 
😂😂 umeshusha nondo sana...na umeonyesha hekima na busara katika dini inavyotakiwa..mimi FaizaFoxy huwa namfananisha na wale waislamu wafuga ndevu na kukata suruali kila kitu kwao huwa wanapenda kukiamua kwa jazba bila kutumia hekima na busara.....
Unawadhulumu sana watu wa Sunnah kwa kuwafananisha na FaizaFoxy ambaye ni mpinga Sunnah maarufu hapa Jf.

Endelea kutafiti vizuri. Utaona kuwa ulichokisema si kweli. Kauli yako imewajumlisha watu wote wa Sunnah ndani ya tabia hiyo mbaya.
 
Mimi mbona nina fuga ndevu na kukata suruali mbona sipo hivyo? na watu kibao nimewashuhudia wenye sifa hizo na hawapo hivyo bali wewe umekariri .
Mtu mwenyewe ambaye anamfananisha na watu wa Sunnah, anapinga Sunnah kabisa mtu huyo.
 
Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo.

Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Pia utakuta humo watoto wa familia masikini zilizorubuniwa kuwa watoto wao watalelewa vizuri na kupelekwa shule. Wapo na wale wa wazazi waliogombana au kutorokana wakamwachia ulezi mzazi mmoja, anaposhindwa kulea peke yake, njia ya mkato ni kumpeleka mtoto au watoto kwenye kituo cha "yatima".

Kwa kuwa vituo vya "yatima" biashara yao ni kujipatia kipato kupitia huruma za watu wanaopeleka misaada na sadaka zao huko, vituo hivyo havikatai mtoto wa aina yoyote vile, mradi wao watoto wawepo ili biashara yao ifane.

Wanaoendesha vituo hivyo, hawajali lolote kuhusu hao watoto, wapo tayari kuwauza wakati wowote kwa wale waliokosa bahati ya kuzaa au hata kwa watu wenye kuharibu watoto (paedophiles).

Jamii, hususan serikali inatakiwa ichunguze kwa kina vituo vya "tatima" vyote, haijalishi ni vya kidini au binafsi. Vyote havifai kabisa kuwepo.

Nashauri wabunge wapeleke muswada bungeni, kama inabidi hivi vituo viwepo basi vitungiwe sheria zitazokua na manufaa na zitazowalinda hao watoto.

Tujadili.
45A2F33E-5217-4BAF-A988-001BE4407948.png
 
Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na uasherati).

Mpuuzi sana wewe, imani yako isikufanye ukose utu kwa mtoto asie na kosa. Toa hukumu yako kwa mzazi na si mtoto asie na hatia
hiki kibibi kina matatizo ya akili
 
Na wewe usiye na imani unamsoma anaefikiria kama kuku halafu yanakuingia kisawasawa mpaka unajibu.

Jifikirie u nani.
Unakubali allah ndio muumbaji halafu wewe huyohuyo unaita wanadamu wenzako haramu, kwanini aliyewaumba asiwe haramu pia !?.
 
Mtoto wa haramu' ni yule anaepatikana nje ya ndoa. Elewa kuwa hapo ina maanisha baba na mama yake walifanya haramu, uzinzi au uasherati nje ya ndoa halali. Waliofanya haramu ni wazazi sio mtoto aliyepatikana.

Mada ni vituo vya "yatima" sio uharamu na uhalali wa watoto isipokua nimeona nikuweke sawa tu.
Amerudia Teena. Mtoto wa haram
 
I don't need to reread your thread because I'm not expecting anything sensible from you.
May foolishness and unguarded tongue not send you to eternity in the lake of fire.
Sounding illogical everywhere.. do you aware that you prophet wasn't raised by his own parents... According to your agnorence he as well he was wedlock child.😂😂
Wicked woman on the beat
Kabibi kanazeeka vibaya .....
 
Ndio maana wanaitwa " wa haramu" hao ni wa uasherati na uzinzi na ndio waliojazwa vituo vya "yatima" na "watoto wa mitaani".

Wewe wazazi wako walikuzaa nje ya ndoa? Umelelewa kituo cha "yatima".
Babu zako na bibi zako walizaliwa kutoka kwa wanawake/wanaume wa madanguro na ndoa zisizo na idadi, leo hii mtumwa mmoja wa dini unakuja kutoa hukumu kuwa waliozaliwa nje ya ndoa(udini) kuwa ni wanaharamu??

Ama kweli nimeamn hizi dini ni takataka kabisa, hazina utu zaidi ya ugaidi na mafundisho potofu
 
Babu zako na bibi zako walizaliwa kutoka kwa wanawake/wanaume wa madanguro na ndoa zisizo na idadi, leo hii mtumwa mmoja wa dini unakuja kutoa hukumu kuwa waliozaliwa nje ya ndoa(udini) kuwa ni wanaharamu??

Ama kweli nimeamn hizi dini ni takataka kabisa, hazina utu zaidi ya ugaidi na mafundisho potofu
Ni akili zake mwenyewe tu huyu Faiza
 
Who cares? I was not raised in an orphanage. Were you?
Unaweza ukawa na hoja nzuri, ila ukakosa maneno yanayofaa kuiwasilisha. Badala yake, ukajikuta unaongea upumbavu, ujinga na ushenzi uliovuka mipaka kwa binaadam yeyote aliestaarabika!

Uzoefu wangu wa JF unaniambia wewe ni mtu mzima kabisa, pengine unalea wajukuu. Kwa umri wako unaona ni sahihi kuwakejeli wanaolelewa kwenye vituo vya watoto yatima? Wewe ni punguwani!

Eti "I was not raised in an orphanage", like serious? Was it your choice? Do you think these children chose to be there? And how on earth do you think this i something to brag about?

Unapata wapi jeuri ya kuwaita binadamu wengine "haramu"? Umewaumba wewe? Kwani wakati wazazi wako wanaingiliana ili wakuzae walikushirikisha? Walihitaji maoni yako? Sasa how does it make you better than them mpaka uwaite haramu?

Nchi imejaa umasikini hii, watu wanajitolea kuwasaidia yatima unaowaita "haramu", alafu unakuja kuandika upuuzi. Kabisa unataka tukusikilize wewe unaewaita haramu, na tuwadhibiti wale wanaojitolea kuwalea, unaakili kweli?

Hakika, umri sio busara. Hata wapumbavu huzeeka!
 
Back
Top Bottom