Gari aina ya Vits,bado mpya na ipo katika hali nzuri kabisa,engine cc990. Bei 8million
Ahsanteni,ila hiyo bei ya 2M na 3M bado sana.
Gari aina ya Vits,bado mpya na ipo katika hali nzuri kabisa,engine cc990. Bei 8million
Mkono utakua hautoshi bado ndugu,gari bado mpya kabisa.Kula Mkono basi!
Naku pm tuongee zaidiChukua 7 mil
Asante nduguUkiwa tayari kuchukua 5mil ni pm tufanye biashara
hahaha vitz ya dollar 600 unauza mi8,wakamate haohao mambwiga..haizid mil 3 njo uchukue.embu tembelea web ya japanusedcar.com uone ho gari inavyouzwa
hahaha vitz ya dollar 600 unauza mi8,wakamate haohao mambwiga..haizid mil 3 njo uchukue.embu tembelea web ya japanusedcar.com uone ho gari inavyouzwa
Final price itakua 7 million
umeshaambiwa ni mpya so akili kumkuchwa km=0Kuna swali unaruka, imetembea kilomita ngapi!
Kuna swali unaruka, imetembea kilomita ngapi!