vitz inauzwa kwa reasonable price

vitz inauzwa kwa reasonable price

josby

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
85
Reaction score
1
Gari aina ya Vits,bado mpya na ipo katika hali nzuri kabisa,engine cc990. Bei 8million
 

Attachments

  • IMG-20130805-WA003.jpg
    IMG-20130805-WA003.jpg
    74.4 KB · Views: 413
  • IMG-20130805-WA000.jpg
    IMG-20130805-WA000.jpg
    40.7 KB · Views: 345
imetembea kilometa ngapi?
kama vpi chukua M2
 
Ahsanteni,ila hiyo bei ya 2M na 3M bado sana.
 
hahaha vitz ya dollar 600 unauza mi8,wakamate haohao mambwiga..haizid mil 3 njo uchukue.embu tembelea web ya japanusedcar.com uone ho gari inavyouzwa
 
hahaha vitz ya dollar 600 unauza mi8,wakamate haohao mambwiga..haizid mil 3 njo uchukue.embu tembelea web ya japanusedcar.com uone ho gari inavyouzwa

Aya nunua hukohuko,na uingize mjini hapa!
 
hahaha vitz ya dollar 600 unauza mi8,wakamate haohao mambwiga..haizid mil 3 njo uchukue.embu tembelea web ya japanusedcar.com uone ho gari inavyouzwa

We ushawahi kununua gari kupitia hiyo website?
 
Kuna swali unaruka, imetembea kilomita ngapi!

Ameshasema ni mpya, yaani imetoka kiwanda, km zilizopo ni za kutoka kiwandani mpaka kwenye meli uko Japan, na kutoka bandari ya DSM mpaka anakoishi, tunaweza kukadiria imetembea km 100 !!!!!
 
Back
Top Bottom