Car4Sale Vitz Old Model inauzwa

Car4Sale Vitz Old Model inauzwa

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Habari wadau.

Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya.

Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia hata ipite miaka kadhaa sitakiwa na uwezo wa kuinunua. Hivyo naiuza.

Mimi ndo mmiliki siyo dalali. Bei maelewano ila-gari ipo Ifakara mjini
 
Gari iko Ifakara Mjini ya wapi Afande? Viwanja 60, Silent Inn, Mlabani, Mwembetogwa, Kwa Shungu, Lipangalala, Katindiuka, Lumemo!

Halafu VITS ikishazingua injini, dawa yake ni kubadilisha tu. Kinyume na hapo utaliwa hela weee mpaka ujute kuifahamu.
 
Weka picha wadau waione...kama bodi nzima..inanunulika tu
 
Gari iko Ifakara Mjini ya wapi Afande? Viwanja 60, Silent Inn, Mwembetogwa, Kwa Shungu, Lipangalala, Katindiuka, Lumemo!

Halafu VITS ikishazingua injini, dawa yake ni kubadilisha tu. Kinyume na hapo utaliwa hela weee mpaka ujute kuifahamu.
Kaka unasema kweli.Mafundi wanaigusa sana lakini bado inasumbua.
Gari ipo Kibaoni.
 
20221113_080412.jpg
 
Back
Top Bottom