Nashindwa hata kujua ulichoniitia huku nani amezungumzia vitz kwenye hyo post uliyoniquote? soma vizuri post si kukimbilia kuquote tu kama unamawazo yako unaweza kuyaweka si quote mtu ndo uelezee mawazo yako
Mimi nilkuwa nazungumzia ratio za mafuta kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km lakini ulaji wa mafuta unategemeana na mapendekezo ya mtengenezaji wa gari husika kutokana na speed (RPM) au nguvu(HP) inayotumika kwenye engine
Pia nikasema ulaji wa mafuta hauna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4 so ulaji wa mafuta kwa gari hauna mahusiano ya Cc za gari au Cylinders(HP) bali ni mahamuzi ya yule aliyetengeneza gari husika
Pia nikatoa na sababu kwa nini gari inaweza kutumia mafuta zaidi ya ratio yake mfano Vitz au Yaris ni 4.6 mpaka 5.8 kwa 100km hii ndio ratio yake nikaeleza vitu vinavyoweza kusababisha matumizi mabaya ya mafuta kwenye gari sasa nakushangaa napo unapisha na kuita ni longolongo zangu dah nashindwa kuelewa au najiuliza ufahamu wako ni kiasi gani juu ya magari au ww ni wale waendesha magari na si dereva ? maana kuna dereva na waendesha magari
Kwenye post yangu sijazungumzia virts hata kidogo ndo maana nakwambia soma na uelewe ndo UQUOTE
We're not talking about fucking IVS recommendation here dude
We're talking about the real specifications of the said cars
Muuliza swali hajauliza anataka kutengeneza gari hivyo anataka kujua IVS wana recommend watengenezaji waweke ratio ipi kwa magari madogo
Muuliza swali kauliza specifically kuhusu magari ya Virtz na Starlet, pamaoja na mengineyo akataka kujua ulaji wake wa mafuta upoje
Bila kumung'unya maneno ungetoa "utaalamu" kuwa Virz ina ratio hii na Staret ina ratio hii
Na ungetoa "utaalamu" zaidi kwanini ratio hizo zinaongezeka au kupungua kutoka kwenye ratio halisi walizotengeneza watengenezaji
Hapa hatubishani habari ya cc wala hp wala cylinder wala hatutaki recommenderio za IVS
Hapa tunataka specifications halisi za virtz au starlet
Watanganyika wapo interested zaidi na fuel consumption kwenye magari, sasa unaposema ratio ya 1/100 hakuna atakaye kuelewa sababu hizo ni recommendation na sio halisi
Dunia ya leo hakuna longo longo bana almost everything unaweza uka google na ukapa taarifa sahihi