Vitz vs starlet

Vitz vs starlet

[B said:
"izzo, post: 19535043, member: 292773"]Ratio ya mafuta kwa gari ndogo ni 1/100km kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) lakini ulaji wa mafuta anapanga mtendenezaji wa gari kutokana na nguvu ya engine (HP) na kwa speed fulani ya gari (RPM) kuhusu matumizi ya mafuta kwa magari hayo ni 4.6 to 5.8 kwa 100km[/B]
unaweza kukuta ni dogo hata gereji
hapo umeulizwa swali dogo tu
unamaana kilometer 100 kwa lita moja?
bado hujajibu unasema ni IVS NI UONGO hakuna mahesabu hayo wala Dictionary ya magari tafuta na utuwekee hapa hiyo link usemayo Internationai Vehicle Standard
ndio maana nikakusifia kwa elimu ya kuzaliwa
uongo mwingine ni speed ya gari (RPM)
pia 4.6 au 5.8 / 100km bado utajichanganya kwa nadharia yako ya 1/100
umeshaambiwa hapo juu kuwa kuwa hizi gari zina tumia mafuta kwa 3.3/100
Fuel consumption (economy) - extra urban 3.3 l/100 km
na hata injini ni cc990 mpaka 1300cc
nafurahi unaanza kuikana hiyo lita 1 kwa kilomita 100 gari la petrol bila solar wala umeme
 
Nashindwa hata kujua ulichoniitia huku nani amezungumzia vitz kwenye hyo post uliyoniquote? soma vizuri post si kukimbilia kuquote tu kama unamawazo yako unaweza kuyaweka si quote mtu ndo uelezee mawazo yako

Mimi nilkuwa nazungumzia ratio za mafuta kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km lakini ulaji wa mafuta unategemeana na mapendekezo ya mtengenezaji wa gari husika kutokana na speed (RPM) au nguvu(HP) inayotumika kwenye engine

Pia nikasema ulaji wa mafuta hauna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4 so ulaji wa mafuta kwa gari hauna mahusiano ya Cc za gari au Cylinders(HP) bali ni mahamuzi ya yule aliyetengeneza gari husika


Pia nikatoa na sababu kwa nini gari inaweza kutumia mafuta zaidi ya ratio yake mfano Vitz au Yaris ni 4.6 mpaka 5.8 kwa 100km hii ndio ratio yake nikaeleza vitu vinavyoweza kusababisha matumizi mabaya ya mafuta kwenye gari sasa nakushangaa napo unapisha na kuita ni longolongo zangu dah nashindwa kuelewa au najiuliza ufahamu wako ni kiasi gani juu ya magari au ww ni wale waendesha magari na si dereva ? maana kuna dereva na waendesha magari

Kwenye post yangu sijazungumzia virts hata kidogo ndo maana nakwambia soma na uelewe ndo UQUOTE

We're not talking about fucking IVS recommendation here dude

We're talking about the real specifications of the said cars

Muuliza swali hajauliza anataka kutengeneza gari hivyo anataka kujua IVS wana recommend watengenezaji waweke ratio ipi kwa magari madogo

Muuliza swali kauliza specifically kuhusu magari ya Virtz na Starlet, pamaoja na mengineyo akataka kujua ulaji wake wa mafuta upoje

Bila kumung'unya maneno ungetoa "utaalamu" kuwa Virz ina ratio hii na Staret ina ratio hii
Na ungetoa "utaalamu" zaidi kwanini ratio hizo zinaongezeka au kupungua kutoka kwenye ratio halisi walizotengeneza watengenezaji

Hapa hatubishani habari ya cc wala hp wala cylinder wala hatutaki recommenderio za IVS
Hapa tunataka specifications halisi za virtz au starlet

Watanganyika wapo interested zaidi na fuel consumption kwenye magari, sasa unaposema ratio ya 1/100 hakuna atakaye kuelewa sababu hizo ni recommendation na sio halisi

Dunia ya leo hakuna longo longo bana almost everything unaweza uka google na ukapa taarifa sahihi
 
Ratio ya mafuta kwa gari ndogo ni 1/100km kwa mujibu wa International Vehicle Standards (IVS) lakini ulaji wa mafuta anapanga mtendenezaji wa gari kutokana na nguvu ya engine (HP) na kwa speed fulani ya gari (RPM) kuhusu matumizi ya mafuta kwa magari hayo ni 4.6 to 5.8 kwa 100km
Mkuu naomba utusaidie baadhi ya magari ambayo yamesha meet hiyo standard ya 1/100km au yanayokaribia kiwango hicho.
 
unaweza kukuta ni dogo hata gereji
hapo umeulizwa swali dogo tu

bado hujajibu unasema ni IVS NI UONGO hakuna mahesabu hayo wala Dictionary ya magari tafuta na utuwekee hapa hiyo link usemayo Internationai Vehicle Standard
ndio maana nikakusifia kwa elimu ya kuzaliwa
uongo mwingine ni speed ya gari (RPM)
pia 4.6 au 5.8 / 100km bado utajichanganya kwa nadharia yako ya 1/100
umeshaambiwa hapo juu kuwa kuwa hizi gari zina tumia mafuta kwa 3.3/100
Fuel consumption (economy) - extra urban 3.3 l/100 km
na hata injini ni cc990 mpaka 1300cc
nafurahi unaanza kuikana hiyo lita 1 kwa kilomita 100 gari la petrol bila solar wala umeme
Dah hv unawezakunambia RPM ni nini? na kazi yake ni nini kwenye gari? nimekwambia ulaji wa mafuta ni maamuzi ya mtengenezaji kutokana na nguvu ya engine au kwa kiwango cha speed fulani

Pia unakiwa kujua ulaji wa mafuta si kwa ajili eti gari ina Cc ndogo au ina 4 au 8 Cylinder

Vitz pamoja na Yaris zote ni vitz tu kuna yenye engine ya 1.3 Litre 84 horsepower
na yenye 1.5 Litre 110 horsepower sasa hyo flate rate ya 3.3 umeitoa wapi?

Pia sijaelewa unabisha kuwa ratio 1/100 hakuna kwa gari ndogo au unabisha hakuna kitu kinachoitwa International Vehicle Standards (IVS)?
Kwenye hii mada nimepost zaidi ya post 15 na nimeulizwa maswali kama uliyoniuliza ww sijabadilisha kile nikiamicho so siwezi kukana kile nilichoandika mm
 
Mkuu naomba utusaidie baadhi ya magari ambayo yamesha meet hiyo standard ya 1/100km au yanayokaribia kiwango hicho.

Mkuu unakwenda mbali sana huko
Mwambie tu akupe link ya hao jamaa IVS wanaotoa ubora wa magari kabla hayajatoka kwa matumizi na IVS wakikuta hujakidhi viwango unalazimika kuyatoa sokoni

Au jiongeze kwa kugoogle uone vichekeaho
 
maxresdefault.jpg
 
We're not talking about fucking IVS recommendation here dude

We're talking about the real specifications of the said cars

Muuliza swali hajauliza anataka kutengeneza gari hivyo anataka kujua IVS wana recommend watengenezaji waweke ratio ipi kwa magari madogo

Muuliza swali kauliza specifically kuhusu magari ya Virtz na Starlet, pamaoja na mengineyo akataka kujua ulaji wake wa mafuta upoje

Bila kumung'unya maneno ungetoa "utaalamu" kuwa Virz ina ratio hii na Staret ina ratio hii
Na ungetoa "utaalamu" zaidi kwanini ratio hizo zinaongezeka au kupungua kutoka kwenye ratio halisi walizotengeneza watengenezaji

Hapa hatubishani habari ya cc wala hp wala cylinder wala hatutaki recommenderio za IVS
Hapa tunataka specifications halisi za virtz au starlet

Watanganyika wapo interested zaidi na fuel consumption kwenye magari, sasa unaposema ratio ya 1/100 hakuna atakaye kuelewa sababu hizo ni recommendation na sio halisi

Dunia ya leo hakuna longo longo bana almost everything unaweza uka google na ukapa taarifa sahihi
umeangalia swali nimeulizwa swali gani ? ndo nikajibu hvyo? sasa nielezee specifications za vitz wakati sijaulizwa swali la kuhusu vitz? na alieuliza swali unahakika ni mtoa mada?
 

Attachments

  • Screenshot_2017-02-01-14-35-32.png
    Screenshot_2017-02-01-14-35-32.png
    54.7 KB · Views: 118
  • Screenshot_2017-02-01-14-35-32.png
    Screenshot_2017-02-01-14-35-32.png
    54.7 KB · Views: 108
Nataka kukwambia kitu ambacho Watanganyika wengi tunachanganya au hatuna taarifa sahihi juu ya vitu nataka kukwambia mpaka gari linaingia sokoni linapitia katika vigezo mbalimbali na viwango mbalimbali lazima ipate kibali cha International Vehicle Standards (IVS) na kama itatoka na kuthibitika aijakidhi vigezo ni lazima zirudishwe kiwandani na kuondolewa sokoni so kati ya vitu ving ambavyo IVS wanasimamia moja wapo ni ubora wa gari husika sasa bhasi gari zote ni bora tatizo kwa kwetu ni Utunzaji na barabara za Africa ni mbovu ujiulizi kwa nini Tunanunua magari ya miaka ya 1980 au 90 lakini yanaonekana bado mapya yakija huku ndo yanachakaa?

Mimi nakushauli nunua Stalet pia gari baada ya km fulani peleka gereji kuhusu Spare dunia ya sasa usiogope kununua gari kwa kuogopa hakuna spare siku hz watu wanaagiza tu ndani ya cku 4 imefika na bei ni nafuu tu
Stalet bhana..jiwe hilo!!
 
It looks like this will be your first car. Huwezi kuwauliza watu wenye akili timamu kwamba vitz na starlet lipi ni gari zuri kununua. Wote waliokujibu wamejibu pumba. Ili upate jibu la uhakika lazima u-specify model ya gari na pengine engine size. Vitz ana models nyingi so is starlet. Kwa wanaojua magari vizuri, hata ukieleza year of manufacture anajua ni model ipi.
Sasa ukiwa specific to that extent, kwa wajuzi wa magari utakuwa umewatengenezea premises nzuri za kukushauri.
Samahani kwa kutumia lugha yenye ukakasi.
Hakuna vitz ngumu kama stalet hata iwe ni new model. Yeye anauliza zaidi ugumu kwa mazingira ya kitanzania. Chamuhimu ndugu mwambie azingatie tu iwe na gia tano.
Hiyo ndio better than.
Asante.
 
Wakuu naomba kujua kati ya izo gari mbili ....ipi ina ubora zaidi....? Kwa upande wa kula mafuta na usafiri wa umbali mrefu ...vilevile ni gari ipi inayo weza kudumu ...kwa mda mrefu......


Ni hayo tyu wakuu. ....wenye kujua wanijuvyeee
Go for vitz, au starlet but iwe glanza.
 
umeangalia swali nimeulizwa swali gani ? ndo nikajibu hvyo? sasa nielezee specifications za vitz wakati sijaulizwa swali la kuhusu vitz? na alieuliza swali unahakika ni mtoa mada?

Kwahiyo huyo uliom quote ndio kauliza kuhusu recommendation?

Unajua lakini maana ya recommendations?

Btw tupe angalau link tu ya hao IVS
 
Unaweza kusoma usielewe pia, akili tunazaliwa nazo shule tunakwenda kupata maarifa si Akili kwani akili tunakwenda nazo hv unajua maana ya Ratio ? wanaposema tafiti zinasema kwa kila Wanzania 4 mmoja ni kichaa je swali nyumbani kwako mnaishi wangapi? kama ni zaid ya 4 je kuna kichaaa? au unapotembea siku nzima unakutana na watu wazima wangapi na vichaa wangapi je inalingana na ratio iliyotolewa?

Tumia akili ww ratio ni hyo hyo International Vehicle Standards (IVS) ndio wana recommend ratio hyo kwa magari madogo 1/100Km huku Heavy Duty Trucks ni 13.3/100Km na magari ya kati ni 10.7/100Km kama nilivyosema hapo mwanzo ulaji wa mafuta kwa gari unatokana na mapendekezo ya mtengenezaji kutokana na speed au nguvu inayotumika kwenye engine na ndo maana ulaji wa mafuta gari iliyotupu ni tofauti na gari yenye mizigo mfano ukiwa unaendesha baiskeli ukiwa peke yako nguvu utakayo tumia ni tofauti na ukiwa umepakiza mizigo au mtu mwingine pia ulaji wa mafuta auna mahusiano na Cc na Cylinders (horsepower) mfano kuna gari linaitwa Mazda rx8 ina Cc 1300 na 4 Cylinder lakini ulaji wake wa mafuta ni kama ina engine ya V8 lakini inakimbia zaidi ya Alteeza ikiwa na speed ya 239 km/h na inauwezo wa zero to 96.56 km/h in 6.3 seconds pamoja kuwa na Cc ndogo na horsepower au Cylinders 4
Magari mengi sana yanatumia mafuta mengi kutokana na watu kutokujua tu mfano magari ya ulaya yanatumia mafuta kidogo sana pamoja na kuwa na Cc kubwa watengenezaji wameweka matumizi ya umeme kuliko mafuta kwenye magari zipo sababu znazofanya magari kunywa mafuta sana ila watu wengi wakiona gari inakwenda bhasi wanaona ni sawa tu lakini zipo sababu nying sana nitakutolea chache
1 bad timing
2 bad sparkplugs
3 low octane fuel
4 malfunctioning coolant temperature sensor
5 blocked catalytic converter(s)
6 malfunctioning MAP/MAF sensors
7 driving with the parking brake engaged
8 having aftermarket wings on the car.
9 tyres not inflated to the recommended pressure
Kitu kingine ambacho nimekiona kwa wabongo wengi ni uendeshaji mbaya wa magari watu wengi si madereva wazuri hata ktk ubadilishaji wa gia tu utajua huyu si dereva hata gari ya automatic nayo inauendeshaji wake si ukiweka D basi

Soma na uelewe
Mkuu wasamehe sio kua ni vichaa tatizo ni hiyo lugha ya malkia,na lingine unawezakuta unabishana na mtu ambae hajawahi endesha gari ,saana kajitahidi ni toyo.
 
kwa hyo ww source yako kubwa ni Google je kama sehemu zingine hakuna Google wanatoa wapi taarifa? pia siwezi kumjibu mtu kwa staha wakati ww unaleta dharau nani unamwita Dogo je unajua umri wangu ? kitu kama uelewi si unauliza unaeleshwa nimekuekewesha sasa kukubali au kukataa ni kazi yako si yangu
Tupe maujanja na ujuzi mkuu Achana na hao wengine unakuta kwao wapo wanne sasa yeye ndio yuleee..""
 
Kwahiyo huyo uliom quote ndio kauliza kuhusu recommendation?

Unajua lakini maana ya recommendations?

Btw tupe angalau link tu ya hao IVS
Nimegundua ww haupo kwa kujifunza hupo kwa ajili ya kubishana ujinga na upuuzi
unaniuliza maana ya recommendations kweli ? pia nataka kukwambia Google si source pekee ya information kama unaamini hvyo bhasi huko nyuma sana kwani Google ni search engine tu inakuletea chochote kinachoendana na kitu ulichokiuliza kiwe cha ukweli au uongo je sehemu ambazo hakuna Google kama China na Russia wanatumia nini kupata taarifa? sijakuelewa unachotaka ni nini unataka link ya nilichosema ? au unataka kujua nilichokiandika nimekitoa wapi?
hoja ni kuniuliza nilichokiandika nimekitoa wapi si kunambia tu tupe link !!!!

Dah inasikitisha sana mtu kitu chochote anakimbilia Google vipo vyazo vya habari vingi sana na kuna vitu ving sana uwezi kusema nikienda Google tu nakipata haya tumchukue mwanafunzi wa form 4 tumpeleke akafanye mtihani wa chuo kikuu tumpatie simu na internet data tuone kama atapata 100 mtihani wake kwa kutumia Google kujibu maswali ya mitihani yake kama kila kitu unakipata Google
 
Back
Top Bottom