Viumbe 10 Vyenye Sumu Zaidi Hapa Duniani

Huyo puffer fish ni hatari sana kuna namna yake ya kumpika ukikosea kidogo tu ni akhera moja kwa moja
 
King cobra hawezi kumzidi sumu black mamba
Hao wote unaowazungumzia...ni jamii moja ([emoji216] mamba) A) Black mamba, B) Green Mamba, C) Johnson Mamba D) King Cobra.. Hiyo ndiyo jamii yao utofautiana kwa urefu, rangi, na speed. Ila sumu ni sawa na huwa ina tabia ya kukimbilia kwenye ubongo, na huwa na tabia yaekugandisha damu.....
 
Chief hujui tu, huyo analiwa kama kawaida, kwenye matumbo yake kuna vitu vinatolewa, then analiwa kama kawa
Hukunielewa. Nimemaanisha akiwa baharini hakuna kiumbe yoyote wa baharini anaeweza kumla kwa sababu ya miba yake...
Au hujui swamaki walana wao kwa wao shekhe?
 
Hukunielewa. Nimemaanisha akiwa baharini hakuna kiumbe yoyote wa baharini anaeweza kumla kwa sababu ya miba yake...

Jifunze kuwaza kwa mapana
Ungeandika hivyo ningekujibu hivyo, hukuandika neno baharini
 
11. mwanamke, tena sumu zake ni balaa zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…