Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Mbowe na Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King cobra hawezi kumzidi sumu black mamba
Hao wote unaowazungumzia...ni jamii moja ([emoji216] mamba) A) Black mamba, B) Green Mamba, C) Johnson Mamba D) King Cobra.. Hiyo ndiyo jamii yao utofautiana kwa urefu, rangi, na speed. Ila sumu ni sawa na huwa ina tabia ya kukimbilia kwenye ubongo, na huwa na tabia yaekugandisha damu.....King cobra hawezi kumzidi sumu black mamba
Huyo puffer fish sumu yake wachawi wanaitumia kutengenezea misukule![]()
1. Box Jelly Fish
2. King Cobra
3. Blue Ringed Octopus
4. Marbled Cone Snail
5. Stone Fish
6. Death Stalker Scorpion
7. Inland Taipan
8. Brazilian Wandering Spider
9. Poison Dart Frog
10. Puffer Fish
chanzo;Priority10News
Anaitwa Bungu kiswahili. Haliwi na chochote huyo samaki wa baharini[emoji115] [emoji115] Mbona huyu hayumo?![]()
Chief hujui tu, huyo analiwa kama kawaida, kwenye matumbo yake kuna vitu vinatolewa, then analiwa kama kawaAnaitwa Bungu kiswahili. Haliwi na chochote huyo samaki wa baharini
Hukunielewa. Nimemaanisha akiwa baharini hakuna kiumbe yoyote wa baharini anaeweza kumla kwa sababu ya miba yake...Chief hujui tu, huyo analiwa kama kawaida, kwenye matumbo yake kuna vitu vinatolewa, then analiwa kama kawa
Ungeandika hivyo ningekujibu hivyo, hukuandika neno bahariniHukunielewa. Nimemaanisha akiwa baharini hakuna kiumbe yoyote wa baharini anaeweza kumla kwa sababu ya miba yake...
Jifunze kuwaza kwa mapana
Hahahaha aisee hii kali11. CHAMA CHA MAPINDUZI