Viumbe wa ajabu waacha michoro kwenye pyramid

Viumbe wa ajabu waacha michoro kwenye pyramid

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
Miaka 3500 iliyopita katika nchi ya Misri walipata kupata ustarabu na mariifa ya hali ya juu. Karne ya 19 kuligunduliwa michoro ya ajabu katika pyramidi ukionesha sehemu za ubongo wa mwanadamu michoro hiyo imechorwa kwa ustadi wa hali ya juu. Tafiti mbali mbali zinaonesha michoro hiyo imekuepo hapo kabla ya mwanadamu hajakanyaga huu mgongo wa ardhi.

Kwa lugha safi michoro hiyo inatueleza kuwa kuna zama katika ulimwengu huu palipata kuwepo na viumbe wenye maarifa makubwa kuliko za zetu tulizokuepo sasa.

Kushoto katika picha ndiyo michoro inayopatikana katika pyramidi, kulia kwake ni picha halisia ya mfumo wa ubongo wa mwanadamu.

pyramid.jpg
 
Nilikwenda miaka ya nyuma na kumuona farao [emoji88]
Black...
Firaun amehifadhiwa Egyptian Museum Cairo na zaidi ya miaka 5000 toka alipokufamaji.
Yeye alijiita Mungu kwa kusema, ''Mimi ndiye Mungu wenu mkuu.''

Allah akasema kuwa amemuhifadhi ili ulimwengu umuone na umshuhudie kuwa yeye si Mungu.

Mimi nilifika Egyptian Museum kumuona Firauni lakini ile ''chamber,'' ilikuwa imefungwa walikuwa kwa wakati ule wamezuia kumuona, ''Mungu.''
 
fuatilia makala zetu tutakuletea shahidi zote hapa hapa
Shahidi ni tofauti na huyo mgunduzi?
Au aliyechora ndio atatoa ushahidi?
Au aliyeona pakichorwa!!
Kanuni za kuua reli ya moshi kisha unaifufua na kudai kupongezwa isitumike tafadhali.
 
Kwenye hiyo picha ya kwenye pyramid, nimeona alama ya msalaba. Nimebaki na maswali lukuki.
 
Culture,
Misri ni nchi ningependa sote tufike kwani wana historia kubwa kupita kiasi.

Hiyo picha ni ya mwaka 1988 wa kwanza kulia waliosimama.

Hapo ni Giza nje kidogo ya Cairo ndipo zilipo pyramids.

Ukiangalia nyuma yetu utaiona moja.View attachment 1282731
Hongera sana Mzee wangu kwa kufika nchi yenye historia kubwa,

Enzi zako ulikua Maa Shaa Allah....[emoji1]
 
Shahidi ni tofauti na huyo mgunduzi?
Au aliyechora ndio atatoa ushahidi?
Au aliyeona pakichorwa!!
Kanuni za kuua reli ya moshi kisha unaifufua na kudai kupongezwa isitumike tafadhali.
mwanadam anaishi kwa historia pia ushahidi wetu utakuja kwa historia.
 
Back
Top Bottom