Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Miaka 3500 iliyopita katika nchi ya Misri walipata kupata ustarabu na mariifa ya hali ya juu. Karne ya 19 kuligunduliwa michoro ya ajabu katika pyramidi ukionesha sehemu za ubongo wa mwanadamu michoro hiyo imechorwa kwa ustadi wa hali ya juu. Tafiti mbali mbali zinaonesha michoro hiyo imekuepo hapo kabla ya mwanadamu hajakanyaga huu mgongo wa ardhi.
Kwa lugha safi michoro hiyo inatueleza kuwa kuna zama katika ulimwengu huu palipata kuwepo na viumbe wenye maarifa makubwa kuliko za zetu tulizokuepo sasa.
Kushoto katika picha ndiyo michoro inayopatikana katika pyramidi, kulia kwake ni picha halisia ya mfumo wa ubongo wa mwanadamu.