"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793



Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe

Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
 
Majini yalijinunulia na kiwanja wakaanza na msingi wakaleta mchanga nondo na cement wakaanza kujenga wakapaua na Aluminium wakaweka😂😂😂

kuna wakati inabidi uwe chizi ili uelewe upuuzi fulani wa hizi dini za kuletewa
 
Sheikh Kipozeo nishawahi sikiza moja ya mawaidha yake akielezea uwepo wa msikiti wa majinn Saudia...
Yap upo kweli! Majini ni wale Malaika Ambao Mungu aliwatimua Mbinguni na kuwatupa Motoni(Shetani na Malaika zake- Mashetani) Ila wanaswali kama waislam.

“Say, [O Muḥammad], “It has been revealed to me that a group of the jinn listened and said, ‘Indeed, we have heard an amazing Quran (i.e., recitation).” [Holy Quran 72:1]
 
Back
Top Bottom