"Viumbe wasioonekana" wajenga Msikiti wa kisasa nchini Comoro. Maneno haya ya Sheikh Al hajj Dr sulle ni ya kweli?

View attachment 2924255

Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill[emoji119][emoji119] siment sijui yametumia ya dangote au faru [emoji23] Mungu atusamehe

Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Walicho waweza wachungaji kuwa shika akili za majumbu zao ni kuwaaminisha kuwa waisilamu wanafuga majini pia wanaabu majini pia na mayumbu waamini

Hali yakuwa majini ni viumbe visivyo onekana kwa macho swali hao wachungaji walijuaje kuwa waisilamu wanafuga maji?

mfano kuna kanisa liko jirani yangu mchungaji alikuwa iliwambia misukule wake siku ya j 2 kuwa masheikh wote wenye ndevu wana majini kwenye ndevu zao heti kayaona huku misukule ikipiga makofi

Baada ya misa tukamuita mchungaji mbele ya waumini wake pale barabalani hili atuthibitishie majini wanavyo fanana ikibidi atuonyesha hata picha akasema mimi sijasema maneno hayo

Tukagundua kuwa misukule wameshikwa akili zao pia wachungaji bila kutumia uchawi awawezi kufanya lolote mwalimu wa uchawi ni jini
 
Subiri waamini waje kudungwa sindano za ufahamu wamwage hela
Siku hizi kila kitu kiko wazi iweje uweke picha ya msikiti usiweke picha ya majini yakijenga msikiti huo?ila misukule wenzio watakuamini tu
 
Walicho waweza wachungaji kuwa shika akili za majumbu zao ni kuwaaminisha kuwa waisilamu wanafuga majini pia wanaabu majini pia na mayumbu waamini

Hali yakuwa majini ni viumbe visivyo onekana kwa macho swali hao wachungaji walijuaje kuwa waisilamu wanafuga maji?

mfano kuna kanisa liko jirani yangu mchungaji alikuwa iliwambia misukule wake siku ya j 2 kuwa masheikh wote wenye ndevu wana majini kwenye ndevu zao heti kayaona huku misukule ikipiga makofi

Baada ya misa tukamuita mchungaji mbele ya waumini wake pale barabalani hili atuthibitishie majini wanavyo fanana ikibidi atuonyesha hata picha akasema mimi sijasema maneno hayo

Tukagundua kuwa misukule wameshikwa akili zao pia wachungaji bila kutumia uchawi awawezi kufanya lolote mwalimu wa uchawi ni jini

Unahamisha mada. Anae eleza kuhusu huo msikiti wa ni Shehe Al Hajj dokta sulle

Kwani Shehe Sulle ni mchungaji ?
 
Siwezi kuthibitisha.

Ndio maana nimeuliza kama ni kweli ama ni uongo yanayosemwa huyo shehe wa dini ya kiislamu.

Usihamishe mada.. kukimbia hoja kuu ya msikiti uliojengwa na majini
Kwani wewe unapomsikia MCHUNGAJI anasema mungu kanitembelea Jana usiku nikazungumza nae ni uongo au ukweli?!

Mzee ukifuatilia Mambo ya kiimani utachoka KICHWA babu.
 
Kuna kipindi nilikuwa natamani nikutane na jini la kike nilitongoze
Dah utoto Raha aisee
Sio utoto hayo ndio mafundisho ya wachungaji kila siku majini majini mala waisilamu ni majini mala wanaabudu majini mala wanafuga majini,ukichunguza mambo mengi wayafanyayo wachungaji kupitia viini macho utagundua kuwa wanatumia sana uchawi ndio maana ujifichia kwenye majini
 
Walicho waweza wachungaji kuwa shika akili za majumbu zao ni kuwaaminisha kuwa waisilamu wanafuga majini pia wanaabu majini pia na mayumbu waamini

Hali yakuwa majini ni viumbe visivyo onekana kwa macho swali hao wachungaji walijuaje kuwa waisilamu wanafuga maji?

mfano kuna kanisa liko jirani yangu mchungaji alikuwa iliwambia misukule wake siku ya j 2 kuwa masheikh wote wenye ndevu wana majini kwenye ndevu zao heti kayaona huku misukule ikipiga makofi

Baada ya misa tukamuita mchungaji mbele ya waumini wake pale barabalani hili atuthibitishie majini wanavyo fanana ikibidi atuonyesha hata picha akasema mimi sijasema maneno hayo

Tukagundua kuwa misukule wameshikwa akili zao pia wachungaji bila kutumia uchawi awawezi kufanya lolote mwalimu wa uchawi ni jini
Kwenye ndevu? No way. Kusema yapo kwenye Dini na tunasali nayo Msikitini ni sawa. Ni Maislamu ndo yalikuwa ya kwanza Kusilimu na kuipenda Dini. Ila la kusema tu yamekaa kwenye ndevu hapo alikosea. Majini ni Malaika wale walioasi wakatupwa chini au wakafukuzwa na Baba yao Shetani. Ndo Majini. So yana uwezo kama walivyo malaika. Ila SI MEMA. hata kama yatakusaidia. Si MEMA hayafai. Hayana ushirika na Mungu wa Ukweli.
 
Kwani wewe unapomsikia MCHUNGAJI anasema mungu kanitembelea Jana usiku nikazungumza nae ni uongo au ukweli?!

Mzee ukifuatilia Mambo ya kiimani utachoka KICHWA babu.

Maswali unayoniuliza yapo nje ya mada inayohusu msikiti uliojengwa na majini.

Kwenye video Shehe Sulle anaelezea huo msikiti. Je shehe Sulle ni Muongo ?
 
View attachment 2924255

Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote au faru 😂 Mungu atusamehe

Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Dr Sule huwa namwelewa na kumkubali lakini kwa hili nimemdharau.

Ingekuwa hivyo si wangeshaiombea CCM itoke madarakani?
 
View attachment 2924255

Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote au faru 😂 Mungu atusamehe

Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Majini yako Over rated. ..mpaka sasa wamwshindwa kuzuia Mabomu huko Gaza.

Kuna Mashekhe Mamilioni kwa Mamilioni miaka nenda rudi wanatwambia Majini hana nguvu za ajabu na za miujiza.

Mpaka sasa hatujaona kazi ya majini kuokoa waja wake huko Hebron Gaza
 
Majini yalijinunulia na kiwanja wakaanza na msingi wakaleta mchanga nondo na cement wakaanza kujenga wakapaua na Aluminium wakaweka[emoji23][emoji23][emoji23]

kuna wakati inabidi uwe chizi ili uelewe upuuzi fulani wa hizi dini za kuletewa
Tatizo Wabongo kuamini Kila wanalo ambiwa.
Huyu mtangazaji ni TAPELI kama MATAPELI wengine.
 
Walicho waweza wachungaji kuwa shika akili za majumbu zao ni kuwaaminisha kuwa waisilamu wanafuga majini pia wanaabu majini pia na mayumbu waamini

Hali yakuwa majini ni viumbe visivyo onekana kwa macho swali hao wachungaji walijuaje kuwa waisilamu wanafuga maji?

mfano kuna kanisa liko jirani yangu mchungaji alikuwa iliwambia misukule wake siku ya j 2 kuwa masheikh wote wenye ndevu wana majini kwenye ndevu zao heti kayaona huku misukule ikipiga makofi

Baada ya misa tukamuita mchungaji mbele ya waumini wake pale barabalani hili atuthibitishie majini wanavyo fanana ikibidi atuonyesha hata picha akasema mimi sijasema maneno hayo

Tukagundua kuwa misukule wameshikwa akili zao pia wachungaji bila kutumia uchawi awawezi kufanya lolote mwalimu wa uchawi ni jini
Mayumbu ndo nini
 
Majini kujenga msikiti yanaweza, kimsingi majini ni waamini wa dini hiyo, miaka flani nikiwa tbr nikasikia waamini wanasema Ile sa 11 alfajiri, kwenye msikiti wa ijumaa, yule anaepiga adhana sio binadamu, aisee, Ile sauti yake mwili wote ulikuwa unasisimka!!!
 
Back
Top Bottom