Viungo bora wakabaji wa muda wote top ten

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Yeah! Wanasoka wenzangu nipo hapa kutoa List fupi wa viungo wa kukaba bora wa mda wote kwa upande wangu katika tasnia ya soccer .
1.Sergio Busquets - kwa upande wangu huyu jamaa ni bora kabisa katika viungo wote kutokana na uwezo wake wa kuziba matobo na kupiga killer pass na unyumbulifu wake
2.Gatusso- huyu nampa nafasi ya pili kutokana na ubora wake katika kukaba na roho mbaya ya unyama unyama
3.Claudia Makelele- kijana kutoka ufaransa nae alikuwa ni bora kabisa katika nafasi yake hiyo
4.Ngolo Kante- kijana pia kutoka ufaransa ambaye anakipaji cha hali ya juu katika kusakata kabbu katika hiyo nafasi
5.Cassemiro - a.k.a the Tank ni kipaji kinachochipukia lakini kutokana na ubora wake nampa nafasi ya tank
6.Xavi Alonso mhisipaniola fundi nae ni xavi Alonso anasifika kwa kupiga long passes na kukaba .

Japo heading inasema ni top ten naomba niishie 6 ilikuwapa nafasi na wachangiaji kumalizia hao wa 4 waliobaki
 
Umeanza kushabikia mpira 2016? Unaleta kichwa cha habari "VIUNGO WAKABAJI BORA WA MUDA WOTE", hao ungeandika Wa muda huu tungekuelewa. Yaani list haina Roy Kean, Viera, Claudio Makelele, Vampire na wakali wengine, wewe umerundika vinuka mkojo halafu ukamchanganya Gen. Gatusso ukaona umemaliza?
 
Mie najua una mapenzi ya dhati kwa sergio busquets.. ila kwa namba moja mtoe.. kitendo cha kusema top ten ukaishia 6 ina maanaisha kuna wengi huwafahamu.. nakushauri rudi nyuma uanze kusaka upya.. busquets hajawahi kuwa sita bora..

Nakumbuka kuna uzi mmoja ulisema busquets ndio 6 bora duniani haijawahi kutokea tukabishana mnoo na ukakosa hoja za msingi
 
Sergio siyo kwa top 10 tu, hata top 50 haingii.
 
Huyo sergio na kante hata kwenye namba 15 hawapo...
 
Umeanza kushabikia mpira 2016? Unaleta kichwa cha habari "VIUNGO WAKABAJI BORA WA MUDA WOTE", hao ungeandika Wa muda huu tungekuelewa. Yaani list haina Roy Kean, Viera, Claudio Makelele, Vampire na wakali wengine, wewe umerundika vinuka mkojo halafu ukamchanganya Gen. Gatusso ukaona umemaliza?
Inawezekana umeanza kushabikia zamani mpira lakn akili yako kuhusu mpira ni finyu mno kwa ulivyoandika mkuu upgrade brain yako
 
Mie najua una mapenzi ya dhati kwa sergio busquets.. ila kwa namba moja mtoe.. kitendo cha kusema top ten ukaishia 6 ina maanaisha kuna wengi huwafahamu.. nakushauri rudi nyuma uanze kusaka upya.. busquets hajawahi kuwa sita bora..

Nakumbuka kuna uzi mmoja ulisema busquets ndio 6 bora duniani haijawahi kutokea tukabishana mnoo na ukakosa hoja za msingi
Hoja zote ninazo anakila kombe na hajawahi kupigwa benchi na yeyote
 
Uliposema Viungo bora wa kukaba wa muda wote nilitegemea nione majina haya kwa haraka sana;

Claude Makelele
Roy Keane
Patrick Vieira
Marcon Sena
Lothar Matthiaus
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Gilberto Silva

Na wengineo wa kariba hiyo. Sasa ninapoona akina Sergio Busquet ndio namba moja nabaki kushangaa!
 
Back
Top Bottom