Viungo bora wakabaji wa muda wote top ten

Wewe ndo shabiki halisi Wa mpira achana na huyo mbangaizaji.
 
Wewe mpira huujui, Sergio awe kiungo bora mkabaji mbona kichekesho hiki. Kwenye orodha eti kuna Kante na kina Casemiro, kituko hiki sasa.
 
1. Claud makelele. 2. Emerson. 3. Allesio Tarchnadi. 5. Kante Ngolo. 5. Marco Senna.
 
Huyu bwa mdogo soka kaanza juzi.. huoni na kapicha kake kaweka hapo, jina alilochagua tu ni sergio 5 unategemea nini!?
 
Hoja zote ninazo anakila kombe na hajawahi kupigwa benchi na yeyote
Basi tuseme na pique ni beki bora zaidi duniani, na haijawahi tokea beki bora kama yeye toka mpira uanze..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama hicho ndio kigezo chako.
 
Mechi ipi aliyocheza namba 6?
Ngoja nikwambie mdogo wangu gerard, hata mjomba pirlo wameishawahi kutumika kama namba 6..

Mtu kama gerard kapiga 4,6,8,7 na 10 katika career yake.

Turudi nyuma kidogo hapo kwa mjomba pirlo, niambie kipi busquets kamzidi mjomba pirlo!!?

Kwangu mimi busquet hata mjomba gilbeto da silva hamgusi, itakuwa xabi alonso..

Mtu kama makelele, kiasi namba 6 imeitwa makelele role kweli awe kilaza masihara haya bwa mdogo..

Busquets hana utofauti mkubwa na michael carrick kwenye ubora wake, sema tu nae alizaliwa taifa bovu la soka duniani..
 
Nimewaza tu haraka haraka listi kukosa
1. Stefan Effenberg 'the tiger',
2. Roy Keane,
3. Lothar Matheus
4. Philip Cocu
5. Sunday Oliseh
6. Patrick Viera
7. Claude Makelele
8. Dunga
9. Didier Deschamps
10. Diego Simeone
11. Graeme Souness
12. Edgar Davids
13. Frank Rijkaard

Kwa kukosa hao tu nawaza ipo siku tutatajiwa listi ya attacking midfilders bila Michael Laudrup hapa na kina Mesut Ozil wakawekwa.
 
Huyu bwa mdogo soka kaanza juzi.. huoni na kapicha kake kaweka hapo, jina alilochagua tu ni sergio 5 unategemea nini!?
Amefanya nafasi ya ukabaji ionekane ni rahisi kuicheza
 
Basi tuseme na pique ni beki bora zaidi duniani, na haijawahi tokea beki bora kama yeye toka mpira uanze..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama hicho ndio kigezo chako.
Swadakta kabisa hujakosea maana makombe ndyo yanatuonyesha status ya mtu
 

Jamani Mbona Edger Davis simuoni kwenye list yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…