Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Kama kucheza zamani ni kigezo sawa lakn hao ni kama shabani nditi[/QUO
Kama kucheza zamani ni kigezo sawa lakn hao ni kama shabani nditi
Huo ni uongo Sergio anapiga penetration za hatari sana ambazo sijawahi ona kiungo anafanya ivyo mkuuNaona hta alonso mwenyewe humjui vizur haitwi xavi huyu ni xabi "xabier" alonso, turudi kwenye topic.
Labda kwa ufupi tuu, Alonso ana vitu vingi kuliko huyo sergio wako.. anauwezo wa kukaba na kushambulia, pasi ndefu ni mujarabu kwake, mpira ni mchezo wa mbinu, mandzukic anatokea winger ya kushoto pale juve wakati ni mshambuliaji kiasili. As a defensive midfilder alonso no bora zaid ila alisogezwa juu sababu anavitu amabavyo busquet hana, kama yeye angecheza chini busquet juu lingekuwa tatizo sababu busquet hawezi kufanya kile ambacho alonso anakifanya akiwa juu.
Sijana Logic katika ulichoongea zaid ya kutoka nje ya mada na kujisifia kuwa umeanza kuangalia mpira zamani kitu ambacho sijakuuliza mkuuLabda umeanza kuangalia mpira juzi miaka ya 2002 kama alivyo Stewart Coggin ambaye nadhani ndo source ya list yako.
Usiumize kichwa hiyo list ni mawazo yake yeye na sio official mkuu, inshort Stewart alianza kufuatilia na kuandika habari za mpira miaka ya 2000 na alianzia huko spain kwenye goal.com. So he is very junior when it comes to world renowned football pundit. Kwahiyo siwezi bishana na wewe labda nibishane na source yako Stewart Coggin
Aahh.. kumbe kigezo penetration[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kweli we soka bado.Huo ni uongo Sergio anapiga penetration za hatari sana ambazo sijawahi ona kiungo anafanya ivyo mkuu
Sijana Logic katika ulichoongea zaid ya kutoka nje ya mada na kujisifia kuwa umeanza kuangalia mpira zamani kitu ambacho sijakuuliza mkuu
Note: unaweza ukawa umeanza kuangalia mpira zamani lakini ukawa kilaza katika analysis kama wewe hapo
Kwa kiungo ulitaka iwe nini mbona Alonso umemsifia kwa kupiga Long passes kama Chuji alfu kidume kutumia emoji za kucheka ni dalili za ukike na kufilisika hojaAahh.. kumbe kigezo penetration[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kweli we soka bado.
Mbona unalialia mkuu na huna hoja kabisa zaidi ya kujikanyaga kanyagaukilaza unaon wewe coz umekopy list ya huyo jamaa,unless uniambie hauja mkopy,tengeneza yako then ndo uniambie mimi kilaza otherwise kwakutumia andiko hilo bila ku-quote kisheria tunaita purgerism.
Kaa ukijua dunia ni kubwa na jf inafika popte pale, Et kilaza
Hii nyimbo ni kama ile ya Leila rashidMtoa mada na sergio ana mahaba ya dhati kweli kweli, kama ni mwanamke basi atakuwa kabandika picha za sergio chumbani na anavaa chupi either zenye picha au jina la mchezaji huyo wa Barcelona
Kwa mahaba aliyonayo kuna siku akija kutoa list yake ya magoli kipa wakali duniani wa mwisho atamweka sergio
Huyu senna namkubali sana alikua nacheza nafundi mmoja wa kiargentina anaitwa Requlme kama sikosei villareal.Duh! Nan kamstaafisha Marcos senna Spain na aliyemuhamisha namba xavi Alonso wordcup 2014 ni nan?
Mie nimezungumzia in general, sijaorodhesha pasi ndefu tu, karudie kusoma, kama ni penetration alonso alikiwa anazipiga vizuri tuu.Kwa kiungo ulitaka iwe nini mbona Alonso umemsifia kwa kupiga Long passes kama Chuji alfu kidume kutumia emoji za kucheka ni dalili za ukike na kufilisika hoja
Bora Mimi kuliko wewe uliyeka mtu katoboa pua kwenye avatar yakeMie nimezungumzia in general, sijaorodhesha pasi ndefu tu, karudie kusoma, kama ni penetration alonso alikiwa anazipiga vizuri tuu.
Mbona unatoka nje ya mada.. mdogo wangu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We hyo picha yako mbona unafanana na kile kipunga kilichoekt movie ya mtoto wa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uyo masherano hadi kabadili number kisa Sergio guadiora wako anasema hajawahi ona kiungo mkabaji bora kama Sergio Marcos senna alitemwa kikosi ya word cup 2010 kisa Sergio sasa sijui una lipi la kusema?
Eti hadi mi nashangaa P.Viera na Keane anawaachajeUmeanza kushabikia mpira 2016? Unaleta kichwa cha habari "VIUNGO WAKABAJI BORA WA MUDA WOTE", hao ungeandika Wa muda huu tungekuelewa. Yaani list haina Roy Kean, Viera, Claudio Makelele, Vampire na wakali wengine, wewe umerundika vinuka mkojo halafu ukamchanganya Gen. Gatusso ukaona umemaliza?
Huo ni uongo Sergio anapiga penetration za hatari sana ambazo sijawahi ona kiungo anafanya ivyo mkuu
Hii ni list yangu ya namba 6. ( sijapanga kufuata mtiririko wa ubora )
1. Pep Guardiola ( Nenda camp nou kaulize habari yake)
2. Gilberto silva
3. Dunga
4. Claude makelele.
5. Fernando redondo
6. Genaro Gatuso
7. Roy keane
8. Patrick viera
9. Stefen effernberg
10. Marcos sena
11. Masimo ambrosini.
12. Edgar davis
13. Diego simeone
14. Didier Deschamps
15. Javier Mascherano
Huyo Busquets hatii mguu humo. Hata kwa level ya jose maria Gutierez bado hajaifikia.
Umeandika kama mwanamke boss Spain na barca hakuna namba 6 kama Sergio na Duniani piaWewe jamaa sababu zako hata hazieleweki. Na haziingii alilini mwa mtu anayeangalia na mpemzi wa soka. Guardiola CV yake kwa barcelona ni undisputed,
Kuachwa kwa mchezaji katika kikosi inategemea na kocha anahitaji timu icheze mpira wa aina gani. Na si mara zote kwamba yule anayeanza ni bora kuliko yule aliye nje. Mfano, kuna baadhi ya mechi za Elclassico Ramos, Pepe walipata kucheza namba 6 chini ya mourinho na Anceloti.
Mascherano kwa sasa anacheza namba 4 muda mwingi na mechi nyingi, ila ni mara nyingi sana Mascherano huwa anafuta makosa ya Busquets kwa kufanya interceptions zilizotukukuka ambazo ni dhahiri huwa zinaonekana zinatokea kwa kufail kwa namba 6.
Usichokijua ni kwamba, Busquets anafichwa na mfumo wa timu wa kumiliki mpira hivyo kufanya most of the time awe na mpira na arelax akiwa na mpira, ila ikitokea timu inashambuliwa muda mwingi, mascherano ni undisputed katika kuzuia mashambulizi.
All in all inategemea namba 6 huyo kakabidhiwa majukumu gani, Usikariri mpira. Mpira unaenda kwa facts na majukumu, kila mtu ana majukumu yake ya msingi awapo uwanjani na namba 6 jukumu lake la msingi ni kulinda central backs zisifikiwe na adui kiurahisi, na jukumu hili la namba 6 most of the time linapimwa pale timu inapokuwa inashambuliwa na si kushambulia, busquests kwa hili anafeli pakubwa.
Umeandika kama mwanamke boss Spain na barca hakuna namba 6 kama Sergio na Duniani pia