dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Natamani uelezee mwanzo mwisho mpaka supu hiyo iwe tayari[emoji39]Kama ya kuchemsha kwa ajili ya soup au mchuzi ni
1. Limaoau ndimu.
2. Kitunguu swaum.
3. Curry powder.
4.Amaizing mchuzi masala.
Weka viungo vyote changanya iache nyama kwanza iingie viungo.
Kama ya kuchoma weka viungo vya juu vyote ongezea na tangawizi na mafuta ya kula.