Viungo gani vinafanya nyama kuwa laini na yenye ladha?

Natamani uelezee mwanzo mwisho mpaka supu hiyo iwe tayari[emoji39]
 
Hi ya kitanga Tanga mkuu
Weka majani ya Rosemary,mchaichai,na Chive inanukia inawahi kuiva la kuwa na ladha ya kipekee
 
Huwa natumia tangawizi na kitunguu swaumu...
Unachanganya na nyama then unaiacha hata nusu saa, unaweka jikoni hivyo hivyo bila maji, ikishatokota ndo utaongeza maji..

Then usiweke moto mkali, uwe moderate tu iive taratibu!
 
Kama ya kuchemsha kwa ajili ya soup au mchuzi ni
1. Limaoau ndimu.
2. Kitunguu swaum...
Hapo penye mafuta!!
Hakuna kitu inaitwa mafuta ya kula!
Ila ni mafuta ya Kupika/kupikia!
Kiswahili chetu!
 
Tangawizi, kitungu thaumu na pilipili manga pia unapoanza kuichemsha usiiwekee maji, baada ya kuiosha weka tu viungo ubandike had itakapoanza kuchemka ndio uweke maji
staili yangu hii. hapo ikiiva staki tena kuiunga na manyanya, natafuta tu ugali wa dona. very delicious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…