Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Wakuu hii habari ni ya kweli kabisa, nimepigwa simu na mwenyekiti wetu wa Mtaa nikapawa kijamini, mimi nakaa Mbweni Hilo tukio ni la kweli. Ndo Tanzania yetu tunadumisha Chama
 
kwahiyo nyinyi ndio mliodikia mwai kibaki kafa mkaleta uzushi wenu humu? ujinga mtupu.

nyinyi ndio mliosababisha Tanzania iwe ranked in top 10 poor iq's population.

Mkuu kwako kuna tv?Kwa taarifa tu ITV wametangaza kama breaking newz,siku nyingine usiwe mbishi kama mshipa!!
 
Dereva wa lori kakodiwa akamwage takataka.....akaenda kumwaga .....alipoondoka kuna wale watu wanachambuachambua taka....wakakuta viungo.....hawajakaa sawa jamaa akarudi kumwaga mara ya pili.....wakamng'ang'ania.......ikabidi awapeleke alikoyatoa.....humo ndani wamekuta nyama za watu....ila mwenye nyumba kalala mbele.Hivyo viungo vimeshatolewa na wahusika waliokamatwa (dereva ) yupo wazo polic
 
Ni kweli Tbc na radio one wametangaza japo wamesema taarifa zaidi ni baada ya jeshi la polisi kuthibitisha...

hiyo sijui 100 miili ya watu wakiwemo watoto...
Ni uooooooooongo mkubwa.
 
Hata mimi nimeziskia hizo habari kupitia Wapo radio muda si mrefu, kama ni kweli basi itakuwa balaa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1405966126.541722.jpg


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
aisee.., is this really happening..!!!? sasa kwa nini asingechimba a mass grave.., it would have been easier..! hii itakuwa ni tambiko la 2015.., huwa wanahitaji vitu kama moyo.., ini, na sex organs mara nyingi bila kusahau damu.
 
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba......ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.

========
UPDATE 1:

Kwa mujibu wa Radio One:
Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm

Si bure hapa lazima imani za kishirikina zilihusishwa.
 
em itambue na yangu Sumu

Loading....................... ............................................................................................

Retry loading.............................................................................................................

IP Address Not Found

Blocked By Firewall

We Are Sorry For Any Inconvenience

Try Again Next Time
 
Back
Top Bottom