Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Dah siku zinakimbia sana, ni zaidi ya miaka 10 imepita.
Dah ni hatariTBC wametangaza sasa hivi kuwa ni viungo vya binadamu ambavyo vilikuwa kwenye mifuko vimekutwa katika eneo la kutupia takataka lakini idadi haijasemwa kwakua imefika kama habari iliyofika punde (breaking news) kwahiyo bado hawajotoa taarifa kiundani.