Wataalamu wanasema mawili....
1..aidha madaktari wanafunzi ambao wanajifunza zaidi kuhusu maiti ndio wamemeliza masomo yao now ndo wanazitupa
2..mpango wa kubadilishana maiti kwa ajili ya kujifunza....hivo mafunzo yameisha na wamezitupa.
Swali...
nimeenda kuzishuhudia ni nyingi sana, halafu ni vipande vipande, kuna zinazovuja damu, kuna zilizokauka, kuna zilizochunwa ngozi.
Dereva aliyekuwa anaendesha hiyo Hilux amekamatwa yuko police Bunju A.....wananchi wamekizingira kituo wanataka wamuue dereva aliyetumwa kazi hiyo ya kumwaga mabaki ya miili.
Bunju hali sasa si shwari, risasi zinapigwa, watu wamebeba silaha za jadi wanataka kubomoa kituo ili wamuue dereva.
Picha na video ninazo ila niko mbali na laptop.