Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Wambura-July22-2014.jpg

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura


Mabaki ya miili ya watu zaidi ya 100 imekutwa katika msitu mdogo uliopo eneo la Mpiji, kata ya Mbweni, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ikiwa imetelekezwa.

Mabaki hayo ya miili yalionekana jana katika eneo hilo majira ya jioni na kuvuta mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia tukio hilo.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo aliiambia NIPASHE kuwa, mabaki yalikuwa yamehifadhiwa katika mifuko ya plastiki ikiwa imefungwa juu.

Alisema mabaki hayo ambayo yamekaushwa na kuhifadhiwa katika mifuko ya ujazo wa kilo 25 ni pamoja na miguu, mikono, mbavu na mafuvu ya vichwa.

Alisema waliobaini kuwapo kwa mabaki hayo ni majirani wa eneo hilo ambao walitoa taarifa polisi.

Polisi walifika eneo la tukio na kuanza kupakia mabaki hayo katika gari lao lenye namba za usajili MS 54 UKH na kuipeleka hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alipoulizwa alisema wakati huo alikuwa eneo la tukio na kwamba angetoa taarifa baadaye.




CHANZO: NIPASHE

 
hii nyngne tena!
Kwaio ni Tofaouti Bunju?
 
hii nyngne tena!
Kwaio ni Tofaouti Bunju?


Hii yaonekana kuwa ni ileile isipokuwa imeandikwa kwa kuzimuliwa as kwenye picha za michuzi za jana kulionekana tipper likiwa na shehena ya viungo, anyway let's wait to hear more from others shortly
 
Na mimi pia mdogo wangu alipotea akiwa form 4 mwaka 1998 hajawaionekana hata fununu.Lianzishwe JUKWAA LA KUTAFUTA NGUGU ZETU WALIOPOTEA KITAMBO KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA.
 
Du! Only in Tanzania can happen. Sasa watu wote hao walikuwa hawana ndugu?kuna ndugu yangu aliondoka home tangu miaka ya 78 mpaka leo hajarejea..sijui....
Na mimi pia mdogo wangu
alipotea akiwa form 4 mwaka 1998
hajawaionekana hata
fununu.Lianzishwe JUKWAA LA
KUTAFUTA NGUGU ZETU
WALIOPOTEA KITAMBO KATIKA
MAZINGIRA YA KUTATANISHA.
 
Na mimi pia mdogo wangu alipotea akiwa form 4 mwaka 1998 hajawaionekana hata fununu.Lianzishwe JUKWAA LA KUTAFUTA NGUGU ZETU WALIOPOTEA KITAMBO KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA.

Kuna ule mguu unaonekana vizuri usije kuwa wa dogo
 
Na mimi pia mdogo wangu
alipotea akiwa form 4 mwaka 1998
hajawaionekana hata
fununu.Lianzishwe JUKWAA LA
KUTAFUTA NGUGU ZETU
WALIOPOTEA KITAMBO KATIKA
MAZINGIRA YA KUTATANISHA.
Katika vyuo vya udaktari miili inayotumika kwa ajili ya mafunzo yanapatikana kihalali kabisa na authorities zote zinakuwa full informed.
lots of bureaucratic procedures are mandatorily followed until the specimens are acquired.
tatizo hapa limekuja kwenye disposal.
People should be tasked.
Huko mbele waziri angekuwa keshapisha kiti
 
Duuuu hatari!isije. Kuwa hosp zetu hazina maeneo ya kuteketeza uchafu wa hosp.maana ktk hali ya kawaida viungo vya watu mia si mchezo.ngoja tuone
Ni kweli hiyo miili ilipaswa kuteketezwa? Na kwa sababu gani? hiyo miili ni ya lini? Na hao watu walikosa ndugu wa kuwazika?
 
Duuuu hatari!isije. Kuwa hosp zetu hazina maeneo ya kuteketeza uchafu wa hosp.maana ktk hali ya kawaida viungo vya watu mia si mchezo.ngoja tuone
Hilo ni kweli mkuu, juzi nimesoma kwenye Mwananchi kuna Hospital moja kule Sinza wanawake wanaojifungua wanapaswa kubeba ndoo ndogo ya Lita kumi kwa ajili ya kubebea kondo la uzazi mama akisha jifungua.

Rais legelege huunda serekali legelege na mifumo na taasisi zote zinakua legelege.
 
Nukuu ya mwanafunzi wa IMTU.

"for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo dead body on march zikatakiwa zitupwe..kwakua kifaa kilikua kibovu waliomba MuHAS wawasaidie ambapo inasemekana walisema nao kifaa(according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba hindu mandal wakatakiwa kutoa 7m..ikacheleweshwa kutolewa..

Leo umoja wa vyuo vya madaktari Afrika mashariki ulikuja for inspection kwakua hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..

On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies"
lawmaina78 nadhani umepata jibu
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni kweli mkuu, juzi nimesoma kwenye Mwananchi kuna Hospital moja kule Sinza wanawake wanaojifungua wanapaswa kubeba ndoo ndogo ya Lita kumi kwa ajili ya kubebea kondo la uzazi mama akisha jifungua.

Rais legelege huunda serekali legelege na mifumo na taasisi zote zinakua legelege.

Mh mbona hatari sio sinza hospital kweli na akibeba anaenda kutupa wapi mbona majanga serikali na wizara wawe makini sio kufatilia vitu visivo na msingi
 

Jeshi la polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, limefanikiwa kukamata viungo vya binadamu vikiwa kwenye mifuko ya plastiki katika maeneo ya Bunju/Mbweni Mpiji, Magohe katika eneo ambalo ni marufu kwa uchimbaji wa kokoto nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
 
kudadeki sio chadema hao

Watu wa pwani huwa hamna akili kabisa,kazi umbea,majungu,kushinda mnacheza bao kuanzia asubuhi hadi jioni,wavivu,mna ndoto za kifala sana za kuzamia meli na kula unga,hata tukiwapa nchi mnachemka tu nyambaf.
 
Kila mmoja anajua kinachoendelea sasa kutokana na tukio la kusikitisha la kukamatwa kwa madaktari waliotupa viungo vya binadamu porini.Sasa najiuliza watanzania wenzetu waliokufa kutupwa kama mbwa je ishara kwamba serikali yetu imechoka kama alivyosema PM "serikali imechoka sasa, wapigwe tu "
 
Majuzi tu tumeona picha ya viungo vibichi vya binadamu vimetupwa kwenye jalala la hospitali muhimbili na kunguru kufanya party, unajiuliza kweli hapo lilifikiriwa swala la health and safety na kama hospitali ya taifa sio mfano wa kuigwa sijui mfano unatokea wapi. Baada ya hapo wala ujasikia waziri wa afya sijui management ya hospitali ikiitwa mbele ya kamati ya afya kujielezea kulikoni maana sidhani kama incinerator ya kuchomea viungo serikari ya Tanzania inashindwa kuinunua kwenye hospitali kuu let alone kuwepo kwenye kila hospitali.

Uzembe na kusimamiana umefikia mahala ambapo hapafai tena na kumekosekana ubunifu wa hali ya juu maana kuna wakalasinga ambao wanachoma maiti zao mpaka majivu surely that is not an expensive procedure wenzetu wazungu watu maskini wasioweza nunua makaburi hiyo ndio fate yao as a cheap alternative, sasa kweli serikari inashindwa kutengeneza kitu kama hicho ndio maana wengine tunatafsiri hizi zote ni ishara ya uzembe wa viongozi wetu walipofikia na wala hakuna tena kuhojiana, amazing bado kuna watu wanataka kutetea wazee hawa jamaa wakapumzike tu.
 
Back
Top Bottom