Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

hospital ya palestina hiyo....

unaenda kutupa huko mbele ya safari uendako

kutupa hiyo kitu sinasikia inaliwa ??
inavitamini sana na huwa inampa sana mwanamke nguvu akiila pindi anapotoka kujifungua??
cc#mzizi mkavu hembu njoo huku bana uwaelimishe hawa wanatupa madini
 
Bongo ukistaajabu la jana...leo linakuja kubwa kuliko!
 
kutupa hiyo kitu sinasikia inaliwa ??
inavitamini sana na huwa inampa sana mwanamke nguvu akiila pindi anapotoka kujifungua??
cc#mzizi mkavu hembu njoo huku bana uwaelimishe hawa wanatupa madini

ndio nasikia kwako hii kitu

cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78 hili swala tayari lipo mikononi mwa polisi kwa uchunguzi zaidi.though i doubt if they will come with something different since the police boss had told the press that the dumped humun parts came from a medical college known as IMTU (International Medical and Technological
University).

Difference should come from premises with strong supporting evidences!!!!!
It is not just a matter of having a different opinion!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna 'standard disposal procedures' ambazo zinatakiwa kufuatwa pahali popotepale iwe hospitali, viwandani hata majumbani.

Kwa taasisi kubwa kama haspitali au vyuo hizo 'procedures' zipo kwa maandishi na zimesainiwa kuwa muhusika atazifuata na pia zipo sheria za adhabu iwapohazikufuatwa.

Wananchi tungependa kuwekewa wazi masuala haya ya kisheria!!
 
Mkuu uko sahihi kabisa!

Cha kushangaza hizi taratibu zinakiukwa na taasisi ambayo ndiyo inapaswa kulinda afya za binadamu...ni ngumu sana kuelewa!!
 
Watu wa pwani huwa hamna akili kabisa,kazi umbea,majungu,kushinda mnacheza bao kuanzia asubuhi hadi jioni,wavivu,mna ndoto za kifala sana za kuzamia meli na kula unga,hata tukiwapa nchi mnachemka tu nyambaf.
truth guy una hasira kweli na watu wa pwani. Kumbuka biashara ya utumwa ilifanywa sana maeneo haya ya pwani. Watu wenye nasaba zenye nguvu walichukuliwa utumwani na dhaifu ndo waliachwa. Watu wa pwani ya bahari Hindi waliopo ni nasaba dhaifu walioachwa wakati wa utumwa.
 
Last edited by a moderator:
Kule India wanashangaa sana mgonjwa wa kisukari kukatwa miguu wakati kuna tiba lakini ukienda hospitali za Tanzania,ukisema unaumwa kisukari uwezekano wa kukatwa mguu ni mkubwa.Rafiki yangu alikatwa miguu yote miwili.
Tukio la juzi la vile viungo vya binadamu vilivyotoka chuo cha udaktari IMTU na kutupwa kandokando ya mto Mpiji,limenishitua sana.Inawezekana madaktari wanafanya biashara, ndio maana watu wanakatwa sana miguu kwa tatizo la kisukari.
Ushauri wangu: Mgonjwa wa kisukari ukiambiwa mguu wako ukatwe ili kunusuru maisha yako,tafadhali hakikisha unarudi na mguu wako nyumbani ukauzike mwenyewe.Usipofanya hivyo mguu wako utafanyika mdoli kwa wanafunzi wa udaktari.
 
Hofu ya nini sasa? Huoni kama inakuwa useful?

Huwa wanatumia vi parts tu au mwili mzima?
 
dah hili suala la imtu sio tu kwamba limechafua imtu bali limechafua vyuo vyote vya udaktari.ona sasa huyu mtoa mada na wachangiaji wanavyopotosha! nadhani itachukua muda sana watu kuelewa juu ya suala hili
 
Kule India wanashangaa sana mgonjwa wa kisukari kukatwa miguu wakati kuna tiba lakini ukienda hospitali za Tanzania,ukisema unaumwa kisukari uwezekano wa kukatwa mguu ni mkubwa.Rafiki yangu alikatwa miguu yote miwili.
Tukio la juzi la vile viungo vya binadamu vilivyotoka chuo cha udaktari IMTU na kutupwa kandokando ya mto Mpiji,limenishitua sana.Inawezekana madaktari wanafanya biashara, ndio maana watu wanakatwa sana miguu kwa tatizo la kisukari.
Ushauri wangu: Mgonjwa wa kisukari ukiambiwa mguu wako ukatwe ili kunusuru maisha yako,tafadhali hakikisha unarudi na mguu wako nyumbani ukauzike mwenyewe.Usipofanya hivyo mguu wako utafanyika mdoli kwa wanafunzi wa udaktari.

labda ungeuliza hio miili wanayofanyia mafunzo huwa wanatoa wapi kuliko kuandika kitu sensitive namna hii.
 
Guu lishakuwa septic if not necrotic litafundishiwa nini???!!!

Google "cadaver" utapata uelewa kuliko kuleta hisia tu Ndikulonga acha uoga
 
Last edited by a moderator:
So stupid and utter nonsense, hapa Interahamwe inakujakuja vipi?Tatito la propaganda zilizofanywa na RPF mpaka wakaonekana kama kilikuwa kikundi cha kigaidi kama Boko Haram ama Alishababu.Kumbuka Interahamwe lilikuwa tu jina la kuhamasisha maana hakukuwa na jinsi maana walikuwa wanapambana na wavamizi.Sasa tell me wewe hapa Interahamwe limekujakuja vipi kwenye hii issue ya watu waliokufa Dar na kupakiwa kwenye mifuko ya plastic nayo ndiyo Interahamwe

I thought you real but after I saw your Avata .....I will ignore you meat head.
 
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa amemtaka Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid kujiuzulu kutokana na sakata la utupaji viungo vya binadamu katika Bonde la Mto Mpiji, Dar es Salaam.

Akizungumza katika hafla ya kuuaga uongozi wa Chama cha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chadema (Chaso) na kufungua Tawi la Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba Muhimbili (Muhas) jana, Dk Slaa alisema utupaji wa viungo hivyo ni udhalilishaji mkubwa wa binadamu na kwamba Serikali inatakiwa kuwajibika moja kwa moja.

"Inashangaza kuona miguu, mikono, pua vinatupwa dampo na Serikali na viongozi wake bado wamesimama. Halafu unafunga hospitali ili umuathiri nani? Si unawaathiri wanafunzi wa chuo hicho wanaoitumia kujifunza?" alisema na kuongeza:

"Nilitarajia waziri angejiuzulu tangu siku ya kwanza baada ya kubainika vile viungo na asingejiuzulu basi Rais Jakaya Kikwete amfukuze kazi."

Dk Slaa alisema Serikali imelegalega katika udhibiti wa viungo vya binadamu ambavyo hutumiwa na madaktari kujifunzia kwa kukosa sheria madhubuti ya kudhibiti taratibu za matumizi yake.

"Niambieni kama kuna sheria ya kuharibu miili ya binadamu hapa nchini na hivyo viungo vinavyoingizwa kutoka nchi za nje vinaongozwa na sheria gani? Huwezi kuwa na madaktari halafu huna sheria," alisema Dk Slaa.

Mapema wiki iliyopita viliokotwa viungo vya binadamu katika bonde hilo vikiwa katika mifuko myeusi na baadaye vilibainika kuwa vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU).

Tayari viongozi wanane wa chuo hicho wamekamatwa na Polisi na Serikali imeunda timu ya wataalamu kuchunguza na mwishoni wa wiki iliifungia Hospitali ya IMTU kwa kukosa sifa ya kutoa huduma za matibabu.

Source; Mwananchi

Hebu Tusubiri tuone watashitakiwaje?
 
Back
Top Bottom