AMARII JF-Expert Member Joined Aug 23, 2023 Posts 722 Reaction score 2,123 Sep 19, 2024 #21 NgerukeAbra said: Bashite Rais ajaye 2025..... Click to expand... Vido anatumika kumchafua au!? Dah kutumbuliwa nayo tena kazi jameniii
NgerukeAbra said: Bashite Rais ajaye 2025..... Click to expand... Vido anatumika kumchafua au!? Dah kutumbuliwa nayo tena kazi jameniii
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Sep 19, 2024 #22 IGP anakuambia nchi Iko salama , Rais naye anatuambia tuache viherehere hao wanaokufa wanakufa kama wengine unabaki kujiuliza hii nchi inajiendesha yenyewe au inaendeshwa na wendawazimu.
IGP anakuambia nchi Iko salama , Rais naye anatuambia tuache viherehere hao wanaokufa wanakufa kama wengine unabaki kujiuliza hii nchi inajiendesha yenyewe au inaendeshwa na wendawazimu.