At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chemsha Tangawizi chukuwa kipande 1 kisafishe vizuri kwa maji kiponde ponde kiwe laini weka katika moto kisha weka maji kikombe 1 na nusu weka jikoni kipate kuchemka kwa dakika 10 moto uwe wa kawaida kisha opowa upate kunywa iwe ya moto tumia asaubuhi mchana na usiku kila siku kwa muda wa siku 3 au siku 5 au siku 7 umepona kama utakuwa na Asali safi ya nuki tia kijiko 1 kisha koroga upate kunywa .tumia njia hiyo utapona maradhi yako.Mie Nina umwa na kifua na misuli naomba ushauri wadau
Kutetemeka Miguu au Mikono kunaonyesha dalili ya wewe kupatwa na maradhi ya kutetemeka mwili aka kwa jina la kiingereza ugonjwa huo unaitwa (Parkinson Disease) nenda haraka Hospitali kapime Figo na ini na pia ukapime Wadudu wanao sababisha Ugonjwa waVidonda vya tumbo kwa jina wanaitwa Helicobacter pylori (H. pylori) pia wanasababisha pia kutetemeka miguu na mikono na kama unakunywa pombe pia acha kabisa. Na Miguu kufa Ganzi tiba pia ninayo. Ukihitaji Matibabu toka kwangu nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole Mkuu.Naomba kujua chanzo cha kutetemeka miguu bila sababu na miguu kufa ganzi
Na dawa yake
Siumwi? Wewe unaujua mwili wangu kuliko mimi? Nikiuliza sehemu ambayo sijaelewa nakuwa siumwi duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri kipi cha kufanya tiba ili kupona au nifanyeje mdau?
Habari wana JF,
Naomba kujua kupata ganzi mwilini kunasababishwa na nini na tiba yake ni ipi?....-
Dawa ya asili ya ganzi ninayo nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtibia mgonjwa wako aweze kupona maradhi yake.Waungwana, Salamu!
Kuna rafiki yangu wa karibu anasumbuliwa na ganzi mwilini hasa mikononi ni Kali. Siku za nyuma alipata lower back pain, akatibiwa, akajiona kupona. Hivi karibuni akifanya mazoezi, akashtua LBP akapatwa na ganzi Kali mwili mzima, miguu na kiuno kuwa dhaifu! Katumia sawa; ganzi imepungua kiasi. Lakini mikononi - viganjani - ni Kali na miguu na kiuno bado si imara.
Dawa ipi ya ganzi - ya Asili au ya kisayansi (hospitali) - anaweza kutumia au afanye nini kwa ganzi, miguu na kiuno? Tunaomba ushauri wenu.
Nitakupataje?Dawa ya asili ya ganzi ninayo nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtibia mgonjwa wako aweze kupona maradhi yake.
Mm nasumbuliwa sana n ganzi,hasa kwenye nyayo na kupelekea kushindwa kutembea vizuru mguu wa kushoto na kukosa nguvu kabisa 0715 378899 au 0687 558785 kama hamtojari namba zangu hizoDawa ya asili ya ganzi ninayo nitafute kwa wakati wako ili nipate kumtibia mgonjwa wako aweze kupona maradhi yake.